Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

jamani mkuu wa wilaya Hai atoke eneo lake la kazi akafanye hayo kwenye eneo la mwingine Arusha!!!!?? hebu tupeni tuhuma za kweli kama kazi tayari ameshafutwa hakuna haja ya kumchomea kiasi hicho,
Je unajua Sabaya alikuwa mheshimiwa diwani Arusha?
 
Nimesoma na nimesikitika sana. Binadamu tunakwama wapi kwenye utu?!?
Mungu atusamehe na tusichoke kuombea roho zetu zibadilike na zimwelekee Yeye.

Inawezekana baadhi kweli ila si yote kuna mda Binadamu sababu ya chuki kua nyingi tunaongeza chumvi
 
Kuna wengine wana sifa na weledi wa kazi, si vyema kumuondoa mtu kama RC Mtaka, Anna Mgwira, Martin Shigella au huyu sasa hapa Dar.
Wengine waliofanya kazi kifedhuli waondoke tu
usimpangie mama yeye anafanya kile kinachomfaa.

kwa taarifa hako,mtaka anatoka soon.
ndio utaelewa sasa[emoji23][emoji23]
 
Duh, sipo sokoni... Hata mimi pia ninazo za kwangu
Si umesema anapendeza ?! Sisi wa kiume ukishaona jinsia nyingine inapendeza ni kuifungia kazi, siyo kufa na tai shingoni . So nawe jitembeze . Ahahahaaaa [emoji16][emoji1787]
 
tukae kimya mnataka kuuza nchi!!!
huo upumbavu hatuwezi kuukalia kimya.
Kwani mkuu kikawaida ukishapigwa tatu sifuri si kama tu umenyeshewa?Uliona wapi mtu alienyeshewa na kulowa akawa na fujo au makelele?

Ile ilikuwa ni vita ya kishetani vs Mungu na sisi tulioamua kuchagua upande wa Mungu tumeshinda vita ile.Ninyi mliochagua upande wa dhuluma mwisho wenu umekuwa ni aibu kwa hiyo yapasa mtulie na mtubu.
 
Ana dharau sana huyu dogo
Juzi kwenye clouds alimkebehi sana eti 'alizaliwa 61 umri sawa na mamake '
Utaishi kwa shida sana utazeeka kumzidi Mh Mbowe
Shida wengi wao huwa wanajisahau sana kuwa haya mambo ni ya ulimwengu. Ishi vizuri na watu heshimu wakubwa na wadogo.
Leo Sabaya umedhalilika
Pesa hainunui kila kitu
Umeiba umepora umenyasasa hizo pesa hutazifurahia
Kiama kiko hapa duniani....
Wengine mliobakia muanze kutia maji
Kelele za mitandao kiko wapi?
Kila mtu abebe msalaba wake
kwahiyo dharau ni kusema mh rc wake kazaliwa 61,mbona ni kama alikuwa anamheshimisha au wenzetu mnaona kinyumenyume??

wekeni akiba ya maneno,huyu sabaya hajaanza vituko jana.
 
Back
Top Bottom