Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Moshi na Rombo pia ametajwa kuvamia!
Hai mara anavamia arusha haha
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hai mara anavamia arusha haha
Ova
Je unajua Sabaya alikuwa mheshimiwa diwani Arusha?jamani mkuu wa wilaya Hai atoke eneo lake la kazi akafanye hayo kwenye eneo la mwingine Arusha!!!!?? hebu tupeni tuhuma za kweli kama kazi tayari ameshafutwa hakuna haja ya kumchomea kiasi hicho,
Miss pablo Acha kabisa.Huyo ni humbwaaaaa... shenzi kabisaa
tukae kimya mnataka kuuza nchi!!!MATAGA mlishapigwa tatu sifuri kwa Kayafa kufa,sasa hivi mnapaswa kukaa kimya.Your era is over!
Jambazu huwa hana locatuon maalum mkuu. Eid inanoga saanaMkuu wa Wilaya moja anaruhusiwa kufanya operations katika wilaya nyingine? Mbona Sabaya anatajwa sana kufanya zinazoonekana ni za serikali katika wilaya nyingine!
kama unakumbuka hilo tukio,ni upuuzi kushangilia yanayotokea kwa sasa.Noma sana View attachment 1783834
Nimesoma na nimesikitika sana. Binadamu tunakwama wapi kwenye utu?!?
Mungu atusamehe na tusichoke kuombea roho zetu zibadilike na zimwelekee Yeye.
[emoji23][emoji23]kashaacha watu wamelala hapa.Mama ametuliza hasira za Benz la Mwinyi na wazee wa Dar,kitabu Cha Mwinyi na Kariakoo derby
Tumpe hata 20 asafishe panya road wote atuachie nchi ya furaha na amani. Ameanza vizuri na panya road Sabaya. Nchi ilirindima kwa furaha.Umemaliza yote! Mama Mungu akulinde kukupa miaka tele.....mitano tena kwa SSH
usimpangie mama yeye anafanya kile kinachomfaa.Kuna wengine wana sifa na weledi wa kazi, si vyema kumuondoa mtu kama RC Mtaka, Anna Mgwira, Martin Shigella au huyu sasa hapa Dar.
Wengine waliofanya kazi kifedhuli waondoke tu
Si umesema anapendeza ?! Sisi wa kiume ukishaona jinsia nyingine inapendeza ni kuifungia kazi, siyo kufa na tai shingoni . So nawe jitembeze . Ahahahaaaa [emoji16][emoji1787]Duh, sipo sokoni... Hata mimi pia ninazo za kwangu
Acha kulia kwa staili yenu ya jicho moja. Tusaidie kupembua basi, kipi wadhani kabambikiwa.wakati mwingine mtu anaweza kua na matatizo lakini mnazidisha na chumvi
Kwani mkuu kikawaida ukishapigwa tatu sifuri si kama tu umenyeshewa?Uliona wapi mtu alienyeshewa na kulowa akawa na fujo au makelele?tukae kimya mnataka kuuza nchi!!!
huo upumbavu hatuwezi kuukalia kimya.
kwahiyo dharau ni kusema mh rc wake kazaliwa 61,mbona ni kama alikuwa anamheshimisha au wenzetu mnaona kinyumenyume??Ana dharau sana huyu dogo
Juzi kwenye clouds alimkebehi sana eti 'alizaliwa 61 umri sawa na mamake '
Utaishi kwa shida sana utazeeka kumzidi Mh Mbowe
Shida wengi wao huwa wanajisahau sana kuwa haya mambo ni ya ulimwengu. Ishi vizuri na watu heshimu wakubwa na wadogo.
Leo Sabaya umedhalilika
Pesa hainunui kila kitu
Umeiba umepora umenyasasa hizo pesa hutazifurahia
Kiama kiko hapa duniani....
Wengine mliobakia muanze kutia maji
Kelele za mitandao kiko wapi?
Kila mtu abebe msalaba wake