PostGE2025 Rais Samia amteua Binti yake Wanu Hafidh, kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hapa hawa ******* Samia na kikwete wanataka 2030 Ridhiwan awe rais Tanzania na Wanu awe rais Zanzibar... Huko mbeleni tutashindwa hata kupumua maana watatuwekea mifumo migumu kama ile ya Fc Barcelona ya 2010's.
 
Huyo ridhiwani bogas hawezi kuiongoza tanzania
 
Huyo ridhiwani bogas hawezi kuiongoza tanzania
Mkuu bogas Samia mbona amekua rais.. hata Ridhiwan nae wanachezesha tu...

Just imagine 2030 wapo kikwete na Samia kwenye huo mchujo wa wagombea wa Ccm we unategemea nini hapo.
 
Mtihani mkubwa! Kuweni na aibu kidogo.
Chakwela tusimruhusu kuja hapa. Acha ibaki kipengele cha Side kama Side
 
Ndalichako anapaswa kurudishwa wizata ya Elimu.
 
Kwa hii CV ndio atakaa na Prof Mkenda kujadili namna ya kusukuma elimu ya Tanzania πŸ€”πŸ€”πŸ€”

Mkenda alivyo na dharau sijui tuite kujiamini, hawatadumu.
Huyo mkenda wako akileta ujuaji na ujivuni atang'oka yeyee.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa hii Elimu hapana, sawa unaweza kufeli form 4 au six lakini ukajiendeleza vizuri na ukawa competent Kama alivyo Makonda lakini kwa huyu kashindwa hata kufanya vyema huko mbele labda tuone kwenye utendaji inaweza kuwa ana maarifa
Makonda? Huyu naibu waziri wa Michezo?
Aiseeeeh wee kweli hamnazooo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama unaona makonda ni competent basi tuishie hapo😁😁😁😁 ni huzuni
Nimecheka hapa, eti Makonda ni competent,
Ila waja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dunia ipo inachanja mbuga kifikra sisi bado tupo kizombi tunaishi kwa system za nepotism
 
Hapa hawa ******* Samia na kikwete wanataka 2030 Ridhiwan awe rais Tanzania na Wanu awe rais Zanzibar... Huko mbeleni tutashindwa hata kupumua maana watatuwekea mifumo migumu kama ile ya Fc Barcelona ya 2010's.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu bogas Samia mbona amekua rais.. hata Ridhiwan nae wanachezesha tu...

Just imagine 2030 wapo kikwete na Samia kwenye huo mchujo wa wagombea wa Ccm we unategemea nini hapo.
2030 lazima awe mkristo, hatutakubali kuchezewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…