Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Nami nasubiri kuteuliwaRais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Dk Mpoki Ulisubisya kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya .
Kadi unayo?Nami nasubiri kuteuliwa
Sawa lakini msiwalete karibu ili muwaue maana nyie maccm hamtaki watu smart kwenye circle yenuRais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Dk Mpoki Ulisubisya kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI).
View attachment 3167528
Rais Samia, pia amemteua Joyce Gideon Mapunjo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) akichukua nafasi ya Mhandisi Musa lyombe ambaye amemaliza muda wake.
View attachment 3167531
Taarifa ya uteuzi wa huo imetolewa leo Jumatatu Desemba 2, 2024 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Sharifa Nyanga.
Aisee picha nayo huoni mkuu🤣🤣Mpoki huyu huyu wa E FM ya majizo! Duh
Nimeshalewa mkuu, si unajua tena mambo ya balimi extra.Aisee picha nayo huoni mkuu🤣🤣
Wewe muda wote unamwaza Jiwe tu!! Vipi alikufir.... nini?Jiwe alimuondoa Mpoki baada ya kusaidia Lissu kupona, Jiwe bhana!!
Mafisad na mawakala wa mabeberu mlipata shida aiseeSawa lakini msiwalete karibu ili muwaue maana nyie maccm hamtaki watu smart kwenye circle yenu
Mwendazake aliwahofia sana wafanyabiashara wakubwa wazawa akawafyeka wote
Sasa huyu anawahofia ma intellectuals anawafyeka
Ili nchi ibaki na majinga
Kwahiyo hukutaka arudishwe chadema hamna shukurani hata Samia akiwa makamu alikwenda kumtizama Lissu lakini kila uchao anaoga matusi!Jiwe alimuondoa Mpoki baada ya kusaidia Lissu kupona, Jiwe bhana!!
Samia hakwenda kumuona Lissu, alipitia tu hospitali baada ya kutoka Nairobi kwenye mkutanoKwahiyo hukutaka arudishwe chadema hamna shukurani hata Samia akiwa makamu alikwenda kumtizama Lissu lakini kila uchao anaoga matusi!
kwa majibu haya mkifinywa kidogo ooh mnatuoneaSamia hakwenda kumuona Lissu, alipitia tu hospitali baada ya kutoka Nairobi kwenye mkutano
Kobazi bilabila//Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Dk Mpoki Ulisubisya kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI).
View attachment 3167528
Rais Samia, pia amemteua Joyce Gideon Mapunjo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) akichukua nafasi ya Mhandisi Musa lyombe ambaye amemaliza muda wake.
View attachment 3167531
Taarifa ya uteuzi wa huo imetolewa leo Jumatatu Desemba 2, 2024 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Sharifa Nyanga.
Ww jamaa akitajwa jiwe hraka unakuja, acha utoto mkuu, binadamu kukosolewa ni kawaida, Akitukanwa Samia unafurahiiiiiWewe muda wote unamwaza Jiwe tu!! Vipi alikufir.... nini?
Una shida mahali pole sana, wafikishie pole majuha wenzio wamchukiao Samia!Samia hakwenda kumuona Lissu, alipitia tu hospitali baada ya kutoka Nairobi kwenye mkutano
Kuandika uongo ndio adabu? endeleeni kuteka na kuua watu kwa kudhani mko salama, muulize jiwe kilichomkuta.kwa majibu haya mkifinywa kidogo ooh mnatuonea
onyesheni adabu kwa mamlaka nduguzangu