Rais Samia amteua Dkt. Mpoki Ulisubisya kuwa Mkurugenzi Mtendaji MOI

Rais Samia amteua Dkt. Mpoki Ulisubisya kuwa Mkurugenzi Mtendaji MOI

Ili kuiondoa inabidi TUCHAPANE ili machawa wafe, ndipo tutaondokana na uongozi mbovu
Kama unapenda kuchapana hata machawa wakifa utatafuta kunguni uwachape tu.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Kama unapenda kuchapana hata machawa wakifa utatafuta kunguni uwachape tu.
Kuna nadharia kuwa Tanzania mpk vizazi dhaifu vimezaa, ndiyo maana tunaonekana kituko.

Nchi nyingine vizazi dhaifu vilipukutika wakati wa vita ya kuoigania uhuru wa nchi zao.
 
Kuna nadharia kuwa Tanzania mpk vizazi dhaifu vimezaa, ndiyo maana tunaonekana kituko.

Nchi nyingine vizazi dhaifu vilipukutika wakati wa vita ya kuoigania uhuru wa nchi zao.
Ukishaendekeza kuzaa watoto 7 mpaka 10 huwezi kuepuka kizazi dhaifu hapo.
 
..huyo Mama Joyce Mapunjo ni kiboko ya Magufuli alipokuwa Katibu Mkuu.

..Magufuli alikuja kulipiza kisasi alipokuwa Raisi kwa kumstaafisha kwa lazima.
 
Mi naomba kuuliza kwanini Umri wa Prof Janabi ni Siri, hivi ana Umri Gani, je ni mkubwa kuliko Kikwete, je ni mdogo kuliko Samia. Mana Kama amefikisha miaka 60 basi alipaswa kustaafu na nafasi yake akachukue dk. Mollel
Pale mhimbili kuna wagonjwa unawezaje kupeleka ile sura ya Mollel kwa wagonjwa halafu utegemee early recovery(wapone haraka)
 
..huyo Mama Joyce Mapunjo ni kiboko ya Magufuli alipokuwa Katibu Mkuu.

..Magufuli alikuja kulipiza kisasi alipokuwa Raisi kwa kumstaafisha kwa lazima.
Siasa ni multi disciplinary science unahitaji (eclectic understanding ya social science, kuidadavua).

Kama ni mzalendo uisaidii Tanzania hata tone kwa siasa za kishambenga.

Ni sawa kwa watu wasio na exposure kuchangia ujinga na ushabiki. Lakini ni upumbavu wa hali ya juu kwa wachangiaji wa diaspora kutowapa ukweli kama tuna huruma na ndugu zetu.

Magufuli hakuwa perfect alikuwa na ushamba wake wa ukabila kwenye teuzi, lakini alikuwa na dhamira ya kweli ya kujaribu kuwaletea maendeleo watanzania.

Hawa watu hawachomoki kama unaelewa social science kwa upana wake.

Achana na Magufuli mtu ambae alikuwa mzalendo, kumnajisi huko ni kuwaunga mkono mafisadi; uzijui siasa za Tanzania kwa kina.

Lissu wako kufyatuliwa risasi he deserved what he got at the time, that’s not the bigger picture in running a country.

Kama unaelewa siasa na what it takes to run a nation halafu wewe ni diaspora kufunga mabegi yako na kwenda kusema unarudi kuishi nchi kama Tanzania; you must be very stupid,

Ni taahira tu kama wewe mwenye uwezo mdogo wa kuekewa dunia inavyozunguka unaweza kiaminisha kichwa chako Magufuli alikuwa mtu mmbaya.

You are so shallow

Ndio ukweli
 
kwa majibu haya mkifinywa kidogo ooh mnatuonea

onyesheni adabu kwa mamlaka nduguzangu
Onyesha wew hiyo adabu...jibu alilotoa hapo ndo ukweli mtupu. Wew hujazuiwa kuonyesha adabu kwa chura kiziwi ikiwezekana hamia kabsa kwa mchengerwa ukawe mke mdogo
 
"UTEUZI hataki kusema ukweli kuwa analipwa mshahara mkubwa Serikalini na Malupulupu manono kila saa na siku nzima" - Muda wote ni Kazi ya ufundi tu

Au tuanze kwenye hizo kazi za ufundi atahitaji watu wa aina/tabia gani kufanya nae kazi sana sana!?

👑 Upole au Ukali

👑 Ukarimu au Ukatili

👑 Muoga au Jasiri

👑Wanaocheka au Wanaonuna

👑 Wenye Ndugu au Wasio na Ndugu

👑Wenye Fedha au Masikini

👑WafanyaBiashara au Wafanyakazi

👑 Uvivu au Uchapakazi

👑 Kufuata utaratibu uliopo au Kufuata utaratibu utakaokuja

👑Wafugaji au Wakulima

👑Wanaopenda Dini au Wapagani

👑Wanaopenda Starehe au Wasiopenda Starehe

👑Wabunifu au Wasio wabunifu

👑Wasomi au wasiosoma

Hivyo yaani

Yesu ulipigwa sijui walilidhika na ukweli uliowapa

images (3).jpeg
 
Bibi kuteua hajambo!
Ila nchi imemshinda kabisa.
Kuna wilaya 25 hahawahi kufika kabisa akiwa kama Rais!
Ila picha zake zimetawanywa nchi nzima
Tunajiuliza,tunachagua picha????
 
kuondikewa
Umri wa kustaafu kwa Professa sio miaka 60.

Bado yupo yupo sana, hiyari ni 65 na kwa lazima ni 70.
kuondokewa na wapendwa wetu kutakuwa kumemkosti janabi
 
Jiwe alimuondoa Mpoki baada ya kusaidia Lissu kupona, Jiwe bhana!!
Why usimpongeze tu Mpoki?

Maana hapo unajijazia nyongo tu wkenye mfumo wako na catecholamines bila sababu

Hon balozi dr mpoki ni mtu mwenye busara sana
 
Bibi kuteua hajambo!
Ila nchi imemshinda kabisa.
Kuna wilaya 25 hahawahi kufika kabisa akiwa kama Rais!
Ila picha zake zimetawanywa nchi nzima
Tunajiuliza,tunachagua picha????
Ana very positive impact kwa nchi

Acha siasa
 
Back
Top Bottom