Rais Samia amteua Dkt. Mpoki Ulisubisya kuwa Mkurugenzi Mtendaji MOI

Rais Samia amteua Dkt. Mpoki Ulisubisya kuwa Mkurugenzi Mtendaji MOI

Kuandika uongo ndio adabu? endeleeni kuteka na kuua watu kwa kudhani mko salama, muulize jiwe kilichomkuta.

Kuna haja ya jf kuchukua hatua kwa wahuni kama wewe mnaotegemea vitisho hapa jf, hii si sehemu yenu, Wajinga wakubwa nyie

Nimekudharau sana!
unyekevu kwa kiongozi wako wa kitaifa ni wajibu ndugu

tuhuma unakoziweka hapo ni busara ukazipeleka sehemu husika vyombo vya usalama vipo kama unaushahidi shauri lako litasikilizwa
 
Kura kwa Dr Godwin Ole Mollel
 
Attachments

  • Screenshot_20241202-213401.jpg
    Screenshot_20241202-213401.jpg
    208.6 KB · Views: 3
Mi naomba kuuliza kwanini Umri wa Prof Janabi ni Siri, hivi ana Umri Gani, je ni mkubwa kuliko Kikwete, je ni mdogo kuliko Samia. Mana Kama amefikisha miaka 60 basi alipaswa kustaafu na nafasi yake akachukue dk. Mollel
Umri wa kustaafu kwa Professa sio miaka 60.

Bado yupo yupo sana, hiyari ni 65 na kwa lazima ni 70.
 
Screenshot_20241202-232948.png

1. Alimtumbua Dr. Mwele Malecela (rip) kwasabb tu alitangaza uwepo wa ugonjwa wa Zika hapa Tanzania. Kumbuka wakati huo utamaduni Dr. Mwele alikuwa bosi wa taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu NIMRI.

2. Alimtumbua Dr. Faustine Ndugulile kwasbb tu aligomea utaratibu wa kujifukiza wakati wa korona. Dr. Ndugulile alimwambia jiwe kuwa huo ni ushirikina na siyo sayansi. Kujifukiza kutauwa watu, hasa wenye magonjwa ya mapafu.

3. Alimtumbua huyu Dr. Mpoki Ulisubisya, wakati huo akiwa Daktari mkuu (sijui kama nimepatia hiki cheo), kwasabb tu Lisu alipopigwa risasi Dr. Mpoki alitumia taaluma yake kuhakikisha maisha ya Lisu yanaokolewa.

Msisahau pia alimtumbua Dr. Kigwagalla.
 
View attachment 3167671

Jiwe inaonekana alipigwa sana alivyokuwa mdogo, alionewa sana.

Akasomasoma kwa tabu akapenyapenya mpaka akajikuta yuko rais.

Sasa alivyokuwa mkubwa na kujikuta rais, akaamini ndio wakati wake wa kuonea wengine kama yeye alivyoonewa, kila mtu lazima afuate anavyotaka yeye, ukimbishia anakupiga tu.

Aliamini kupiga ni haki yake kwa sababu na yeye kashapigwa sana huko nyuma.

Bila ya kuondoa hii mentality ya kupiganapigana hatuwezi kuondokana nanuongozi wa watu kama Jiwe.
 
Bila ya kuondoa hii mentality ya kupiganapigana hatuwezi kuondokana nanuongozi wa watu kama Jiwe.
Ili kuiondoa inabidi TUCHAPANE ili machawa wafe, ndipo tutaondokana na uongozi mbovu
 
Back
Top Bottom