milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Kuliko JKAna very positive impact kwa nchi
Acha siasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuliko JKAna very positive impact kwa nchi
Acha siasa
Kama unamfagilia Magufuli kwa ukatili ule aliouonyesha kwenye uongozi wake basi wewe ulikuwa highly BRAINWASHED. Uko mateka wa mwendazake, there is no way tunaweza kukusaidia.Siasa ni multi disciplinary science unahitaji (eclectic understanding ya social science, kuidadavua).
Kama ni mzalendo uisaidii Tanzania hata tone kwa siasa za kishambenga.
Ni sawa kwa watu wasio na exposure kuchangia ujinga na ushabiki. Lakini ni upumbavu wa hali ya juu kwa wachangiaji wa diaspora kutowapa ukweli kama tuna huruma na ndugu zetu.
Magufuli hakuwa perfect alikuwa na ushamba wake wa ukabila kwenye teuzi, lakini alikuwa na dhamira ya kweli ya kujaribu kuwaletea maendeleo watanzania.
Hawa watu hawachomoki kama unaelewa social science kwa upana wake.
Achana na Magufuli mtu ambae alikuwa mzalendo, kumnajisi huko ni kuwaunga mkono mafisadi; uzijui siasa za Tanzania kwa kina.
Lissu wako kufyatuliwa risasi he deserved what he got at the time, that’s not the bigger picture in running a country.
Kama unaelewa siasa na what it takes to run a nation halafu wewe ni diaspora kufunga mabegi yako na kwenda kusema unarudi kuishi nchi kama Tanzania; you must be very stupid,
Ni taahira tu kama wewe mwenye uwezo mdogo wa kuekewa dunia inavyozunguka unaweza kiaminisha kichwa chako Magufuli alikuwa mtu mmbaya.
You are so shallow
Ndio ukweli
Kwani kwenye hizo wilaya 25 hakuna ma DC? Mbona mnatataka micro management?Bibi kuteua hajambo!
Ila nchi imemshinda kabisa.
Kuna wilaya 25 hahawahi kufika kabisa akiwa kama Rais!
Ila picha zake zimetawanywa nchi nzima
Tunajiuliza,tunachagua picha????
Ile ngozi na vumbi wapi na wapi!Kwani kwenye hizo wilaya 25 hakuna ma DC? Mbona mnatataka micro management?
Hata akifika hizo wilaya 25, iko siku utasema kwenye tarafa 570, Rais hajawahi kufika kwenye tarafa 120
Kwa mtu selfish mwenye kujali maslahi yake hawezi mwelewa Magufuli.Kama unamfagilia Magufuli kwa ukatili ule aliouonyesha kwenye uongozi wake basi wewe ulikuwa highly BRAINWASHED. Uko mateka wa mwendazake, there is no way tunaweza kukusaidia.
Yaani kwq upumbavu ulionao, hata hata ukisagwa kama mchanga na ukatengenezwa upya utaendelea kuwa MPUMBAVU tu
Huyo Jamaa Ana upeo mdogoKwani kwenye hizo wilaya 25 hakuna ma DC? Mbona mnatataka micro management?
Hata akifika hizo wilaya 25, iko siku utasema kwenye tarafa 570, Rais hajawahi kufika kwenye tarafa 120
Ndio akina Dr Nawanda.Huyo Jamaa Ana upeo mdogo
Mh rais Ana wasaidizi kila kona
Kwa mtu ambaye yuko indoctrinated to the brain hawezi kuona UOZO wa MagufuliKwa mtu selfish mwenye kujali maslahi yake hawezi mwelewa Magufuli.
Ninamfahamu sana huyu mama, Mmh ni majanga. Pia ana tabia ya hovyo za kudhalilisha wafanyakazi hasa wanaume. I worked with her miaka ya 1998-2000. Duh, I feel sorry kwa wale watakaokuwa chini yake😜🙊Wastaafu waombe sana Mungu. Mapunjo kaingia hapo🤣🤣🤣
Atawaachia manyoya
Hao madaktari bingwa wanastaafu wakiwa na miaka 65.Mi naomba kuuliza kwanini Umri wa Prof Janabi ni Siri, hivi ana Umri Gani, je ni mkubwa kuliko Kikwete, je ni mdogo kuliko Samia. Mana Kama amefikisha miaka 60 basi alipaswa kustaafu na nafasi yake akachukue dk. Mollel
Hakuna Sheria inavyosema hivo, ilete hapa. Huwa wanaongezewa kishikaji kwakuwa tu kulikuwa na uhaba lakini Sasa hivi vijana tupo wengiHao madaktari bingwa wanastaafu wakiwa na miaka 65.
Nikajua unapigia chapuo hata hizo nafasi tupewe vijana kumbe unataka baba yako mdogo Mollel apewe nafasi hiyo wakati kashakula pensheni ya ubunge. Vijana tukumbukwe.
Wanafyekwa na waganga wao huko acheni kusingizia wengineSawa lakini msiwalete karibu ili muwaue maana nyie maccm hamtaki watu smart kwenye circle yenu
Mwendazake aliwahofia sana wafanyabiashara wakubwa wazawa akawafyeka wote
Sasa huyu anawahofia ma intellectuals anawafyeka
Ili nchi ibaki na majinga
Makubi yupo Benjamin MkapaKama Dr Mpoki anaenda MOI je Profesa Makubi tumpeleke WHO Africa Region?
jiheshimu binti...ada yako ya mwezi isikupe kiburiOnyesha wew hiyo adabu...jibu alilotoa hapo ndo ukweli mtupu. Wew hujazuiwa kuonyesha adabu kwa chura kiziwi ikiwezekana hamia kabsa kwa mchengerwa ukawe mke mdogo
Hawa ndg zetu uliowataja wawili kati ya watatu wameshatangulia mbele za haki kama alivyotangulia huyu uliyemtaja wote RIP!!! Kipo kitu cha kujifunza ktk majira na mifumo tunayopitia! Ya kesho anayajua Mungu!!!View attachment 3167671
1. Alimtumbua Dr. Mwele Malecela (rip) kwasabb tu alitangaza uwepo wa ugonjwa wa Zika hapa Tanzania. Kumbuka wakati huo utamaduni Dr. Mwele alikuwa bosi wa taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu NIMRI.
2. Alimtumbua Dr. Faustine Ndugulile kwasbb tu aligomea utaratibu wa kujifukiza wakati wa korona. Dr. Ndugulile alimwambia jiwe kuwa huo ni ushirikina na siyo sayansi. Kujifukiza kutauwa watu, hasa wenye magonjwa ya mapafu.
3. Alimtumbua huyu Dr. Mpoki Ulisubisya, wakati huo akiwa Daktari mkuu (sijui kama nimepatia hiki cheo), kwasabb tu Lisu alipopigwa risasi Dr. Mpoki alitumia taaluma yake kuhakikisha maisha ya Lisu yanaokolewa.
Msisahau pia alimtumbua Dr. Kigwagalla.
Asante kwa masahihisho, lakini ingefaa zaidi kama ungetusaidia kuweka hapa kwa usahihi wake.Haupo sahihi, Sheria hazipo hivo, kasome nyaraka vizuri,
Janabi hahusiki chochote na uteuzi huu, MOI sio MNH.kuondikewa
kuondokewa na wapendwa wetu kutakuwa kumemkosti janabi
Umeongea vizuri sanaaa!!Siasa ni multi disciplinary science unahitaji (eclectic understanding ya social science, kuidadavua).