Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
unyekevu kwa kiongozi wako wa kitaifa ni wajibu nduguKuandika uongo ndio adabu? endeleeni kuteka na kuua watu kwa kudhani mko salama, muulize jiwe kilichomkuta.
Kuna haja ya jf kuchukua hatua kwa wahuni kama wewe mnaotegemea vitisho hapa jf, hii si sehemu yenu, Wajinga wakubwa nyie
Nimekudharau sana!
AiseeWastaafu waombe sana Mungu. Mapunjo kaingia hapo🤣🤣🤣
Atawaachia manyoya
JANABI ana miaka 65Mi naomba kuuliza kwanini Umri wa Prof Janabi ni Siri, hivi ana Umri Gani, je ni mkubwa kuliko Kikwete, je ni mdogo kuliko Samia. Mana Kama amefikisha miaka 60 basi alipaswa kustaafu na nafasi yake akachukue dk. Mollel
Wacha upumbavu kwenye mambo serious. Na ndiyo maana mnaonekana kama chama cha mzahaSamia hakwenda kumuona Lissu, alipitia tu hospitali baada ya kutoka Nairobi kwenye mkutano
Aah kumbe ndio wewe alikufir... ndio maana unajibu wewe badala ya mlengwa!! Shithole mkuu wangu!We ndio umezaa naye, bwege kwl kamfuate km umemmiss huyo shetani wako.
Shoga vipi tena alikuumiza sana kwa kukufi... bila virainishi nini!!? Pole sana.We bwege kamlee mtoto wa huyo firauni wako
Hao madaktar bingwa wanastaafu wakifika 65.Mi naomba kuuliza kwanini Umri wa Prof Janabi ni Siri, hivi ana Umri Gani, je ni mkubwa kuliko Kikwete, je ni mdogo kuliko Samia. Mana Kama amefikisha miaka 60 basi alipaswa kustaafu na nafasi yake akachukue dk. Mollel
Sawa fanya hakwenda kabisa lissu anajua walichozungumza!Samia hakwenda kumuona Lissu, alipitia tu hospitali baada ya kutoka Nairobi kwenye mkutano
Umri wa kustaafu kwa Professa sio miaka 60.Mi naomba kuuliza kwanini Umri wa Prof Janabi ni Siri, hivi ana Umri Gani, je ni mkubwa kuliko Kikwete, je ni mdogo kuliko Samia. Mana Kama amefikisha miaka 60 basi alipaswa kustaafu na nafasi yake akachukue dk. Mollel
Jiwe inaonekana alipigwa sana alivyokuwa mdogo, alionewa sana.View attachment 3167671
1. Alimtumbua Dr. Mwele Malecela (rip) kwasabb tu alitangaza uwepo wa ugonjwa wa Zika hapa Tanzania. Kumbuka wakati huo utamaduni Dr. Mwele alikuwa bosi wa taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu NIMRI.
2. Alimtumbua Dr. Faustine Ndugulile kwasbb tu aligomea utaratibu wa kujifukiza wakati wa korona. Dr. Ndugulile alimwambia jiwe kuwa huo ni ushirikina na siyo sayansi. Kujifukiza kutauwa watu, hasa wenye magonjwa ya mapafu.
3. Alimtumbua huyu Dr. Mpoki Ulisubisya, wakati huo akiwa Daktari mkuu (sijui kama nimepatia hiki cheo), kwasabb tu Lisu alipopigwa risasi Dr. Mpoki alitumia taaluma yake kuhakikisha maisha ya Lisu yanaokolewa.
Msisahau pia alimtumbua Dr. Kigwagalla.
Ili kuiondoa inabidi TUCHAPANE ili machawa wafe, ndipo tutaondokana na uongozi mbovuBila ya kuondoa hii mentality ya kupiganapigana hatuwezi kuondokana nanuongozi wa watu kama Jiwe.
Haupo sahihi, Sheria hazipo hivo, kasome nyaraka vizuri,Umri wa kustaafu kwa Professa sio miaka 60.
Bado yupo yupo sana, hiyari ni 65 na kwa lazima ni 70.