Rais Samia amteua Dkt. Mpoki Ulisubisya kuwa Mkurugenzi Mtendaji MOI

Kama unamfagilia Magufuli kwa ukatili ule aliouonyesha kwenye uongozi wake basi wewe ulikuwa highly BRAINWASHED. Uko mateka wa mwendazake, there is no way tunaweza kukusaidia.

Yaani kwq upumbavu ulionao, hata hata ukisagwa kama mchanga na ukatengenezwa upya utaendelea kuwa MPUMBAVU tu
 
Bibi kuteua hajambo!
Ila nchi imemshinda kabisa.
Kuna wilaya 25 hahawahi kufika kabisa akiwa kama Rais!
Ila picha zake zimetawanywa nchi nzima
Tunajiuliza,tunachagua picha????
Kwani kwenye hizo wilaya 25 hakuna ma DC? Mbona mnatataka micro management?

Hata akifika hizo wilaya 25, iko siku utasema kwenye tarafa 570, Rais hajawahi kufika kwenye tarafa 120
 
Kwani kwenye hizo wilaya 25 hakuna ma DC? Mbona mnatataka micro management?

Hata akifika hizo wilaya 25, iko siku utasema kwenye tarafa 570, Rais hajawahi kufika kwenye tarafa 120
Ile ngozi na vumbi wapi na wapi!
 
Kwa mtu selfish mwenye kujali maslahi yake hawezi mwelewa Magufuli.
 
Kwani kwenye hizo wilaya 25 hakuna ma DC? Mbona mnatataka micro management?

Hata akifika hizo wilaya 25, iko siku utasema kwenye tarafa 570, Rais hajawahi kufika kwenye tarafa 120
Huyo Jamaa Ana upeo mdogo

Mh rais Ana wasaidizi kila kona
 
Wastaafu waombe sana Mungu. Mapunjo kaingia hapo🤣🤣🤣

Atawaachia manyoya
Ninamfahamu sana huyu mama, Mmh ni majanga. Pia ana tabia ya hovyo za kudhalilisha wafanyakazi hasa wanaume. I worked with her miaka ya 1998-2000. Duh, I feel sorry kwa wale watakaokuwa chini yake😜🙊
 
Mi naomba kuuliza kwanini Umri wa Prof Janabi ni Siri, hivi ana Umri Gani, je ni mkubwa kuliko Kikwete, je ni mdogo kuliko Samia. Mana Kama amefikisha miaka 60 basi alipaswa kustaafu na nafasi yake akachukue dk. Mollel
Hao madaktari bingwa wanastaafu wakiwa na miaka 65.

Nikajua unapigia chapuo hata hizo nafasi tupewe vijana kumbe unataka baba yako mdogo Mollel apewe nafasi hiyo wakati kashakula pensheni ya ubunge. Vijana tukumbukwe.
 
Hao madaktari bingwa wanastaafu wakiwa na miaka 65.

Nikajua unapigia chapuo hata hizo nafasi tupewe vijana kumbe unataka baba yako mdogo Mollel apewe nafasi hiyo wakati kashakula pensheni ya ubunge. Vijana tukumbukwe.
Hakuna Sheria inavyosema hivo, ilete hapa. Huwa wanaongezewa kishikaji kwakuwa tu kulikuwa na uhaba lakini Sasa hivi vijana tupo wengi
 
Sawa lakini msiwalete karibu ili muwaue maana nyie maccm hamtaki watu smart kwenye circle yenu

Mwendazake aliwahofia sana wafanyabiashara wakubwa wazawa akawafyeka wote


Sasa huyu anawahofia ma intellectuals anawafyeka
Ili nchi ibaki na majinga
Wanafyekwa na waganga wao huko acheni kusingizia wengine
 
Kama Dr Mpoki anaenda MOI je Profesa Makubi tumpeleke WHO Africa Region?
 
Onyesha wew hiyo adabu...jibu alilotoa hapo ndo ukweli mtupu. Wew hujazuiwa kuonyesha adabu kwa chura kiziwi ikiwezekana hamia kabsa kwa mchengerwa ukawe mke mdogo
jiheshimu binti...ada yako ya mwezi isikupe kiburi

wakati baba zako tunazungumizia mambo ya kitaifa ni vyema muda huo ungejifunza kupika chapati binti yangu mpendwa
 
Hawa ndg zetu uliowataja wawili kati ya watatu wameshatangulia mbele za haki kama alivyotangulia huyu uliyemtaja wote RIP!!! Kipo kitu cha kujifunza ktk majira na mifumo tunayopitia! Ya kesho anayajua Mungu!!!
 
Reactions: G4N
kuondikewa
kuondokewa na wapendwa wetu kutakuwa kumemkosti janabi
Janabi hahusiki chochote na uteuzi huu, MOI sio MNH.

Cheo alichopewa Mpoki kilikua cha Prof. Makubi kabla hajahamishiwa BMH (sikumbuki alieteuliwa baada yake ama palibaki na kaimu tu).
 
Umeongea vizuri sanaaa!!

Unamfahamu Robert Kenedy Jr ambaye Rais Trump amemteua kuwa Waziri wa Afya wa US? Unafahamu historia yake ya kupinga COVID 19 na chanjo kwa ujumla?

Leo huyo Robert Kenedy ndio Waziri wa Afya na aliwapeleka watu Mahakamani kwenye suala zima la COVID 19!!

Google articles mbalimbali zitakusaidia kufahamu mambo mbalimbali kuhusu hili jambo na msimamo wa US wa Rais Trump ndio msimamo wa dunia!! Yajayo yanafurahisha!!!

Queen Esther
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…