Rais Samia amteua Dkt. Mpoki Ulisubisya kuwa Mkurugenzi Mtendaji MOI

Mi naomba kuuliza kwanini Umri wa Prof Janabi ni Siri, hivi ana Umri Gani, je ni mkubwa kuliko Kikwete, je ni mdogo kuliko Samia. Mana Kama amefikisha miaka 60 basi alipaswa kustaafu na nafasi yake akachukue dk. Mollel
Dr Molle huyu huyu naibu waziri?. Kiazi sana yule mheshimiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…