Rais Samia amteua Dkt. Ramadhan Dau kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB)

Rais Samia amteua Dkt. Ramadhan Dau kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB)

Vijana acheni kusambaza CV mjini bila connection hakuna kitu, utajitolea bure huku mchana unashinda njaa wenzako wanaenda kula wèwe unaanza kucheza magemu na kujifanya unaongea na simu za uongo
🤔🤔🤔🤔🤔
 
Hii nchi ni ngumu.
Nilikuwa najaribu kuona kama kuna mjadala ukisema namna Bodi hii itakavyoboresha, bahati mbaya hakuna.

Bodi ya Utalii imelala. Hawasikiki kwenye michezo au matamasha makubwa. Uhamasishaji wa utalii hata ule wa ndani ni zero.
Ni vyema waone wanafanya nini kimkakati kutembelea Taasisi, masoko na hata mtaani.
Wafanye kila anayehusika na utalii anahamasisha.
Sio kukimbilia nje tu.
Wawe na mikakati na nchi chache zenye tija.
Iwe ukifika airport lazima ukutane na exciting things.

Beach ziwe nzuri na zenye usalama. Huduma ziwepo na zifikike.

Utalii fanyeni kazi. Mfano Hai mkoa wa Dar es Salaam umeshindwa kabisa kuongeza mapato yake kwa matumizi ya utalii.

Una beaches, una msitu km mabwepande, zoo nk.

Jiongezeni.
 
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemteua Dk. Ramadhan Dau kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB).

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dares Salaam jana, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Hassan Abbasi, alisema Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa naye, amewateua wajumbe sita wa bodi hiyo.

Aliwataja wajumbe hao niJacqueline Woiso, ambaye ni Mkurugenzi wa Multichoice Tanzania, Tindi Mndolwa Mkuu wa Itifaki, kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kitengo cha Diplomasia
na Said Kamugisha, ambaye ni Mtaalamu wa Masuala ya uhamiaji naMwanasheria.

Wajumbe wengine ni Omar Mohammed, ambaye ni Mkurugenzi wa Utaratibu na Usimamizi wa Utalii, kutoka Tume ya Utalii Zanzibar na Mdau wa Utalii Zanzibar, Mozza Salim Mauly ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Utali, inayojulikana kama Mauly Tours and Safari na Mdau wa Utalii Bara pamoja na Dk. Tereza Mugobi, ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Utalii na Mtaalamu wa Utalii.

Pia, alisema Damas Mfugale atakuwa Katibu wa Bodi hiyo ya Utalii, atakuwa na jukumu kubwa la kuwasimamia
wajumbe hao, kutekeleza majukumu yao ya kikazi.

Wakati huohuo, Waziri Mchengerwa alimthibitisha Dk. Tereza Mugobi, kuwa Mkurugenzi wa Idara ya
Utalii nchini, awali alikuwa anakaimu nafasi hiyo.

Waziri Mchengerwa ameteua wajumbe hao, kwa mamlaka aliyonayo kwa mujibu wa kifungu cha 3(2) cha Sheria ya Bodi ya Utalii, Sura ya 364 kama ilivyorekebishwa na kifungu cha Sheria ya Mabadiliko ya Sheria mbalimbali namba 4 ya mwaka 2019. Pia, alisema mchakato wa kuwapata wajumbe hao umefanywa ndani ya miaka mitatu.
Hatari, miaka 3 ni mchakato wa kutafuta wajumbe wa bodi!
 
Tunaemfahamu Dau tunahisi kama hili ni jukumu dogo sana kwake.

Ningetamani sana Dau apewe majukumu makubwa na mazito zaidi, lakini naamini Rais anaelewa anachokifanya. Dau ni trouble shooter mzuri sana na bila shaka jukumu hili halitamzuia kufanya mengine mengi zaidi.
Mwivi na mdini mkubwa.
Kapewa hilo jukumu soon misikiti itaanza kujengwa maofisi ya TTB
 
Kwa hasara kubwa ya mabilioni ya yale magorofa pale kigamboni yeye akiwa CEO wa NSSF,asingefikiriwa kuteuliwa kwenye utumishi wa Umma kamwe abadan!

Actually alipaswa kuwajibishwa kwa hasara zile!
Syo mtumishi wa umma.
Watumishi wa umma wanaajiriwa kwa mikataba, ameteuliwa uenyekiti wa bodi.
Alishastaafu utumishi wa umma
 
Mwivi na mdini mkubwa.
Kapewa hilo jukumu soon misikiti itaanza kujengwa maofisi ya TTB
Hii miisiramu mijizi sana. Midini sana, juzi rimkutano retu na sisi tukayajzia maakofu na makuhani, yanataka kureta uisiramu wao, hatukubari kabisa.
 
Back
Top Bottom