Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Rais Samia amteua Mizengo Pinda kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Kumshauri Rais kuhusu Utekelezaji wa Masuala ya Kilimo na Chakula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana hawezi teuliwa afanye KAZI ya CONSULTANCY ktk KILIMO wakati hajawahi Lima hata Bustani ya mchicha.Vijana hawana ajira ,wastaafu wanarudishwa kwenye ajira
nikutengenezeana tu maulaji, hiyo kazi wapewe vijana graduate ilituone wanafeli wapi kuliko kuwalaumu tuRais Samia amteua Mizengo Pinda kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Kumshauri Rais kuhusu Utekelezaji wa Masuala ya Kilimo na Chakula
Nchi hii hakuna kustaafu
Ova
Erythrocyte ushauri wako wameufanyia Kazi
Mnaendeleza ulaji tu hapo