scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,719
Mama kila siku unapitia humu na una ID tumeshajua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama kila siku unapitia humu na una ID tumeshajua
Hiyo hawaez iona kabisa ngoja ije kinyume sasaMmoja tu ndio muislam
Ukishafanikiwa kubreak ile cycle ya poverty ndio tayari wewe na ukoo wako wote mmetoboa.Nchi hii hakuna kustaafu
Ova
Hamna kitu hapo. Huyu si ndo mzee wa Big results now BRN enzi zake na kikwete alifanya nini cha mañana walikuwa wanagawa Chakula cha njaa kila kukichwa.Rais Samia amteua Mizengo Pinda kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Kumshauri Rais kuhusu Utekelezaji wa Masuala ya Kilimo na Chakula
Huyo mfuga Nyuki aliyeshindwa kuwakomboa Wapimbwe?Hapo kwa Pinda mheshimiwa Rais umepatia. Kwa kilimo Pinda hana mpinzani hapa nchini.
Hakuna kilichoanzishwa na Pinda kikafanikiwa zaidi ya maigizoHamna kitu hapo. Huyu si ndo mzee wa Big results now BRN enzi zake na kikwete alifanya nini cha mañana walikuwa wanagawa Chakula cha njaa kila kukichwa.
Nchi haiwezi kuendelea hii, kuna tinagers kibao wanaubunifu kuzidi Hata huyo Mzee mstafu wa Tamisemi.
Mh Mizengo Pinda namkubali sana huyu Mzee.Rais Samia amteua Mizengo Pinda kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Kumshauri Rais kuhusu Utekelezaji wa Masuala ya Kilimo na Chakula
Hongera sana Mhe. Dkt. SSH, Rais wa JMT kwa uteui wa watu makini chini ya uenyekiti wa Mhe. MKPP, Wairi Mkuu Mstaafu. Nawafahamu wote kwa uchapaji kazi wao kwa umakiniAsante kwa Taarifa
Sawa, kuna umuhimu wa kuangalia Mifugo na Uvuvi kwani vina mchango mkubwa kwenye Uhakika wa ChakulaSijaona watu wa mifugo na uvuvi hapo, kama ilivyo kilimo usalama wa chakula unategemea pia ufanisi kwenye uzalishaji wa sekta ya mifugo na uvuvi.
Once again; another perfect choice!Rais Samia amteua Mizengo Pinda kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Kumshauri Rais kuhusu Utekelezaji wa Masuala ya Kilimo na Chakula
Kwa huyu yule wa power tillers za mkopo toka India zikiuzwa na Suma JKT?Mama Samia hapa amecheza karata zake vizuri.
Rais Samia Mdini sana ameteua waislamu watupu!Ameshafeli tayari, unateuaje wastaafu ambao kilimo chao ni sebuleni Dar? ndiyo maana nchi haiende, angeteua wakulima kutoka Rukwa, Kiteto, Simanjiro au hata Kilosa
Automata njoo uone udini wa Rais SamiaRais Samia amteua Mizengo Pinda kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Kumshauri Rais kuhusu Utekelezaji wa Masuala ya Kilimo na Chakula
Siyo kwa sababu unasali nae!!?Hapo kwa Pinda mheshimiwa Rais umepatia. Kwa kilimo Pinda hana mpinzani hapa nchini.
ExactlyHiyo hawaez iona kabisa ngoja ije kinyume sasa