Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji3][emoji3]Siasa ni ulaji. Hapo mzee ni kuunda vikao kibao vya uongo na kweli,kula posho mlima, tiketi za ndege first class,hotel presidential suite, vikao wanafanyia ughaibuni. Afu badae wanakuja na karipoti ka uongo na kweli kuhusu usalama wa chakula na miradi ghost ya kumshauri mama.
Mwisho wa siku watakwambia tumepiga hatua kubwa katika kilimo,tunachakula cha kutosha na hakuna njaa na pato la mtu mmoja mmoja limeongezeka. [emoji16]