Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Yaani hii nchi haina vijana wanaojua kilimo, hadi wanaenda kutafuta hao wazee wastaafu kushauri kuhusu kilimo, wakati walipokuwa madarakani walishindwa kukinyanyua hicho kilimo? Kinachoendelea hapa nchini ni kutumia mawazo ya walewale walioshindwa huko nyuma.