Wakubwa wanazidi kumegeana mapandeRais Samia amteua Mizengo Pinda kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Kumshauri Rais kuhusu Utekelezaji wa Masuala ya Kilimo na Chakula
Maji hufuata mkondo wake......royal families 👪 kwenye ubora wao,kuna wakulima huku lingusenguse wa miaka na miaka, huyu aliyeanza hardly miaka 10 iliyopita ameshakua star 🌟
chadema mmechukulia vipi,au bado mnatukana bodaboda na wala ugaliAsante kwa Taarifa
Mzee anajua kilimo na mambo ya nyuki sanaHapo kwa Pinda mheshimiwa Rais umepatia. Kwa kilimo Pinda hana mpinzani hapa nchini.
Acha kumduzi marehemu dr jpm ,mbona ni mtu katufanyia mengi mazuri ,,hata huyu mam wetu akitoka watamdisc tuBaraza litazinduliwa siku ambayo dikteta uchwara na mshamba kutoka ile kanda alitangazwa kuwa wajanja wa mjini wamemmaliza.
Inashangaza sana sasa bashe anafanya nn ikiwa rais atashauriwa na kina pinda ,bashe hili halijamfurahishaNaona kijana Bashe anawekwa mbali mdogomdogo. Hivi kabisa Rais aache kufata ushauri wa mzee Pinda na akafata ushauri wa Bashe?
We na ma ova ova yako kama ovaries vipi mkuu 🤣🥶Nchi hii hakuna kustaafu
Ova
Hyo siyo ajira ni viposho tu watakula [emoji1787]Vijana hawana ajira ,wastaafu wanarudishwa kwenye ajira
Yaani Jiwe alifanya mazuri, yule ibilisi katika umbo la binadamuAcha kumduzi marehemu dr jpm ,mbona ni mtu katufanyia mengi mazuri ,,hata huyu mam wetu akitoka watamdisc tu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Huyu Pinda ni Mtaalam wa masuala ya Kilimo kitaaluma.Hapo kwa Pinda mheshimiwa Rais umepatia. Kwa kilimo Pinda hana mpinzani hapa nchini.
Hv najiuliza tu lini pinda ataomba msaada kwa mwanae eti kijana nina shida ya laki tano mara nyingi sana lbda kijan yule apige vizingaUkishafanikiwa kubreak ile cycle ya poverty ndio tayari wewe na ukoo wako wote mmetoboa.
Hapo mzee kala shavu na kijana nae naibu waziri.
Hela zinazunguka tu nyumbani.
Hapakauki.
Siasa tamu asikuambie mtu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha ujinga eti mkulima wa kiteto ahahaaa your kidingAmeshafeli tayari, unateuaje wastaafu ambao kilimo chao ni sebuleni Dar? ndiyo maana nchi haiende, angeteua wakulima kutoka Rukwa, Kiteto, Simanjiro au hata Kilosa
Rais ajayeMh Mizengo Pinda namkubali sana huyu Mzee.
Huyo ni waziri mkuu mstaafu , analamba zile 80% za incumbent pamoja na benefits nyingine.Hv najiuliza tu lini pinda ataomba msaada kwa mwanae eti kijana nina shida ya laki tano mara nyingi sana lbda kijan yule apige vizinga
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Tulia dada angu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha ujinga eti mkulima wa kiteto ahahaaa your kiding
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ni namna ya kutoa fadhila kwa washikaji, ndiyo maana teuzi ni zile zileHuku ni Kuongeza gharama za kuendesha serikali tu, hii ni kazi ya wizara ya kilimo jamani...
Kushauri nako kuna nini zaidi ya posho?Rais Samia Mdini sana ameteua waislamu watupu!