Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
WamefichaKabla ya hapo Mkurugenzi alikuwa Nani na baada ya huo uteuzi anaenda wapi?
AiseeeKabla ya hapo Mkurugenzi alikuwa Nani na baada ya huo uteuzi anaenda wapi?
System hiyo usicheze nayo!!Aiseee
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Bw. James Wilbert Kaji ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo. Kabla ya uteuzi huu, Bw. Kaji alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Sharifa B. Nyanga
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu
Ni kweli vitambulisho vya Sasa si bora. Nilipata kitambulisho February mwaka huu ila sasaiv namba zimefutika.Watu wapate vitambulisho sasa tena vyenye ubora wa kama awamu ya kwanza...maana hivi vya sasa vinawahi kuchakaa...sio rafiki kwa maisha ya kash kash ya Mtanzania wa kawaida.
Uwe na adabu na heshima kwa mamlaka.Ndiyo maana taasisi nyingi hazifanyi vizuri sababu ya teuzi za hovyo, DC/UVCCM anakuwaje mtendaji tena taasisi nyeti kama NIDA amezoea kupiga dili na utapeli kwenye siasa? hovyo kabisa huyu mama amekuja kuua nchi yetu then arudi kwao
😡Ndugu zangu Watanzania,
Huu hapa uteuzi umefanywa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Ni kazi juu ya kazi hakuna kupoa wala kupumzika. Mama yupo kazini muda wote.
View attachment 3179679