Rais Samia amteua Wilbert Haji kuwa Mkurugenzi wa NIDA

Ndugu zangu Watanzania,

Huu hapa uteuzi umefanywa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Ni kazi juu ya kazi hakuna kupoa wala kupumzika. Mama yupo kazini muda wote.

View attachment 3179679

Jamiiforum haijawai kuwa na watu wajinga kama wewe kusifiasifia tu utakufa masikini
 
Tabu inaendelea
 
Alipelekwa Tanga kwa kazi maalumu, kumbuka wakati Magufuli anafaraki Mama alikua Tanga,na kuna madudu Mama aliona huko Tanga, kabla hajaanza kuyafanyia kazi ndiyo akatakiwa kua Rais, na ndiyo maana akamteua Kaji kwenda Tanga kua Mkuu wa Wilaya kwa kazi maalumu ambayo aliipiga vizuri sana!!
 
Ateue mkurugenzi wa PSSSF aliyepo hajatekeleza matakwa ya kisheria kulipa wanachama
 
Kwa maelezo ya.mtendaji.mmoja wa nida mstaafu tatizo ni ufinyu wa.bajeti yaani kinachohitajika sio kinachopelekwa na.serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…