Rais Samia amtumbua Kamishna Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya

Vumilia, acha mama afanye kazi, je, unataaluma ya uteuzi?
 
Vumilia, acha mama afanye kazi, je, unataaluma ya uteuzi?
Mkuu chikambabatu , uteuzi hauhitaji taaluma, nchi haindeshwi kwa utashi tuu wa mtu, inaendeshwa kwa mujibu wa katiba, sheria, taratibu na kanuni na kila kitu kuhusu uendeshaji wa nchi kimeandikwa na kipo!.

Viongozi wetu sio malaika ni binadamu tuu na wanaweza kukosea, hivyo Mama nae ni binadamu. Kwenye uteuzi sio kila kitu ni Mama mwenyewe anafanya bali anawasaidizi wanaomsaidia na kumshauri, Sii mara moja wala mbili kumewahi kutokea makosa kwenye uteuzi, mtu anateuliwa leo na kesho anatenguliwa!. Hayo ni makosa sometimes kunapotokea makosa kwenye uteuzi ila makosa hayo sio ya Mama bali ni Mama anakuwa amekoseshwa. Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda

Mimi ni muelimishaji umma, kazi yangu ni kutoa tuu elimu tena bure kuhusu mambo mbalimbali, hivyo hata kuhusu mamlaka ya rais ya uteuzi, nimeisha endesha somo humu Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!
P
 
Hii nchi kwa sasa imeshatekwa kwa mara nyingine tena na lile genge la wahalifu. Jambo hili ni hatari kwa mustakabari wa kizazi cha sasa, na hata kile cha baadaye.

Katiba Mpya ya wananchi inatakiwa ipatikane mapema iwezekanavyo, jabla mambo hayaja haribika kabisa.
 
Wewe ni nani umwrlekeze Rais wangu!
 
Sasa unawezaje kutumia slogan ya kwenye mikutano wewe ukiwa peke yako?
raraa reree
Amandla ni neno tu kama maneno mengine. Maana yake " Power". Ni kama vile umkataze mtu kusema "people" kwa sababu tu mkutanoni CDM wanasema " peeeoooopleee"!

Usinilazimishe kusema unavyotaka wewe.

Amandla...
 
safi sn.
Dawa za kulevya kwa sasa zinauzwa kama njugu kama vile hakuna mamlaka ya kupambana na madawa ya kulevya.

Kwa sasa takwimu zinaonyeaha wauzaji na wasambazaji wameongezeka.
Ni hatari sana kinondoni Magomeni sasa kila nyumba ina punda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…