Rais Samia amtumbua Kamishna Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya

Hujui katiba wewe! RC anamiliki mkoa Waziri hana kipande cha nchi bwashee
RC hana mamlaka hata ya kutoa hati ya kumiliki ardhi, sasa kipande gani cha nchi anamiliki? Lakini Waziri ana uwezo wa kiwaamuru makamishna wa ardhi kufuta hati ya kumiliki ardhi!
 
Anayefuta umiliki ni Rais bwashee. Unajua mwenyekiti wa kijiji akitoa ardhi, hakuna anayeweza kuifuta hadi Rais? Unajua mkuu wa mkoa ana bunduki 7 na mpambe wake ni Polisi. Je, Waziri analindwa na nani? Rais ana mpambe ambaye ni JWTZ na mwenyekiti wa kijiji/Mtaa ana bunduki 1 na mpambe wake kikatiba ni Mgambo. Hata makamu wa rais hana mpambe anayevaa kiaskari ujue! Hujui kitu, tunakufundisha unaleta ubishi. Hujui hata Protocal kijana
 
Wenye nchi na wana uwezo wa kukutimua ni hao watatu. Rais, Mkuu wa mkoa na mwenyekiti wa kijiji anaweza kukutimua katika kijiji chake hata ukiwa Waziri
 
Anayefuta umiliki ni Rais bwashee. Unajua mwenyekiti wa kijiji akitoa ardhi, hakuna anayeweza kuifuta hadi Rais? Unajua mkuu wa mkoa ana bunduki 7 na mpambe wake ni Polisi. Je, Waziri analindwa na nani? Rais ana mpambe ambaye ni JWTZ na mwenyekiti wa kijiji/Mtaa ana bunduki 1 na mpambe wake kikatiba ni Mgambo. Hata makamu wa rais hana mpambe anayevaa kiaskari ujue! Hujui kitu, tunakufundisha unaleta ubishi. Hujui hata Protocal kijana
Sasa RC anamiliki nini?
 
RC ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama hivyo kuwa na polisi siyo ajabu!
 
Maza kawaondoa vijana wote wa JPM(Wasukuma) 1. Mashimba, 2. Kalemani. 3. Dotto 4. Ngusa 5. Prof Makubi then kaweka waislam wenzake, kanda ya ziwa wakimchagua huyu maza watakuwa hawana akili
Ulikuwa unapata maslai gani binafsi kwa kalemani kuwa waziri na wewe ukiwa msukuma mwenzake?
 
Not necessarily, atapangiwa kazi nyingine!.

Ila pia ninanote demotions za kiaina!.

Mtu alikuwa KM, akapandishwa kuwa Kamishna, halafu sasa anashushwa na kuwa RAS!. It's not fair, kanuni za Utumishi wa umma zifuatwe. Ukimshusha mtu wa level ya PS, mtupe ubalozini!.

P
Ukipata muda tuwekee hayo makanun ya utumish wa umma na sis tufute tongo

P

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
wasukuma wanaonewa na hii tumbua tumbua yao italeta madhara huko mbeleni.
Kwahiyo unataka akivyurubda aachwe kwa kuwa ni Msukuma??

Unajua kuwa Kuna tofauti kati ya sukuma gang na wasukuma?

Sukuma gang ni itikadi wakati ambapo wasukuma ni kabila. Na mtu anayewaongelea wasukuma hafai hata kidogo. Mtu huyu ni mkabila.

Mm nawachukia sana sukuma gang Lakini mm ni msukuma. Nyaneng'we!
 
Back
Top Bottom