Rais Samia amualika nabii mkuu Geodavie Ikulu ndogo ya Arusha na kumpongeza

Rais Samia amualika nabii mkuu Geodavie Ikulu ndogo ya Arusha na kumpongeza

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan akiwa mjini Arusha katika ziara yake ya siku chache amemualika Nabii mkuuu GEODAVIE katika Ikulu ndogo ya Arusha na KUMPONGEZA kwa kutoa milion 100 pale Samunge. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kanisani kwake jana, Nabii mkuu alisema alipongezwa pia na mawaziri, manaibu wao na makatibu wakuu kwa kazi yake nzuri ya kusaidia wananchi pale Samunge.
Safi sana Rais Samia Suluhu ni kiongozi wa kuigwa maana hana uhbaguzi wa kidini maana najua kuna watu lazima wataongea
 
..kwanini Ssh hakubadilisha dini ili amfuate huyo Nabii?

..huyu Maza anatapatapa na kujivunjia heshima kwa kujiweka karibu na matapeli ya kiimani.
Acha utopolooo wewe..inakuhusu..?? Wewe ndio tunatapatapa hujitambui ni me au me
 
Intelligence Services mtaarifuni rais harakati na utajiri wa George David Malembeka a.k.a Nabii Mkuu umetoka wapi.
Anzieni alipokuwa mchuuzi mitaa ya Chugga
Sio malembeka au wewe msukuma, yeye ni George David Kasambale , mmejaa wivu wa kijima sana nyie ngedere wa kitanzania
 
..kwanini Ssh hakubadilisha dini ili amfuate huyo Nabii?

..huyu Maza anatapatapa na kujivunjia heshima kwa kujiweka karibu na matapeli ya kiimani.
Kura hata ya mwezi mchanga ni muhimu,Cha msingi tembea na biti,hiyo ndiyo demokrasia
 
Back
Top Bottom