Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Kumbe nawe ni mvaa kobazi?..kwanini Ssh hakubadilisha dini ili amfuate huyo Nabii?
..huyu Maza anatapatapa na kujivunjia heshima kwa kujiweka karibu na matapeli ya kiimani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe nawe ni mvaa kobazi?..kwanini Ssh hakubadilisha dini ili amfuate huyo Nabii?
..huyu Maza anatapatapa na kujivunjia heshima kwa kujiweka karibu na matapeli ya kiimani.
Kakutapeli nn?Rais bila kujua ametoa endorsement kwa huyu nabii kutapeli zaidi.
Natapeli nini?Rais bila kujua ametoa endorsement kwa huyu nabii kutapeli zaidi.
Tapeli ni babaako na mama Yako mbwa wewe !! Labda ulitanguliza matako wakati huna akili kabisa !!
MhmhAnataka aanze mambo ya Magufuli
Wanawake wenye misambwandaNabii mkuu ana kashfa za kulala na wake za watu, ina maana Dr SSH halijui hilo?
Tayarii geodev ndio mbungee wetu apa Arusha mtarajiwaaaRais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan akiwa mjini Arusha katika ziara yake ya siku chache amemualika Nabii mkuuu GEODAVIE katika Ikulu ndogo ya Arusha na KUMPONGEZA kwa kutoa milion 100 pale Samunge. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kanisani kwake jana, Nabii mkuu alisema alipongezwa pia na mawaziri, manaibu wao na makatibu wakuu kwa kazi yake nzuri ya kusaidia wananchi pale Samunge.
Mwingira Songea
Zumaridi Mwanza !!Mwingira Songea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nabii Tito Jimbo la Dodoma
Siamini kama mkuu wa nchi anajipendekeza rejea historia,..vitangulizi vya ukoloni walikuwa Wapelelezi,..wakaja Wamisionari(Dini) then wakoloni.,..Hakuna cha wasaidizi. Ni kuwa viongozi wa siasa hutaka kujipendekeza kwa viongozi wa dini ili wapigiwe chapuo kwenye uchaguzi. Kwa kifupi wanatafuta kura na hakuna cha zaidi.
Bado Mwamposa atampongeza kwa kuuza maji na mafuta na kufungua hotel mpya mbeya na kumiliki mashamba ya maparachichi ya kutosha ambayo anauza nje ya nchi..kwanini Ssh hakubadilisha dini ili amfuate huyo Nabii?
..huyu Maza anatapatapa na kujivunjia heshima kwa kujiweka karibu na matapeli ya kiimani.
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan akiwa mjini Arusha katika ziara yake ya siku chache amemualika Nabii mkuuu GEODAVIE katika Ikulu ndogo ya Arusha na KUMPONGEZA kwa kutoa milion 100 pale Samunge. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kanisani kwake jana, Nabii mkuu alisema alipongezwa pia na mawaziri, manaibu wao na makatibu wakuu kwa kazi yake nzuri ya kusaidia wananchi pale Samunge.
Ukweli usemwe.Watu wanatoka mbali nawe pambana ufike utakapo,usimsagie kunguni haitokusaidia kutajirika Kama yeye 😅😅🏃
Kuna mashehe pia walienda kwa 'nabii mkuu' nao pia hawakubadili dini...kwanini Ssh hakubadilisha dini ili amfuate huyo Nabii?
..huyu Maza anatapatapa na kujivunjia heshima kwa kujiweka karibu na matapeli ya kiimani.