Anajiimarisha kanda hyoRais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan akiwa mjini Arusha katika ziara yake ya siku chache amemualika Nabii mkuuu GEODAVIE katika Ikulu ndogo ya Arusha na KUMPONGEZA kwa kutoa milion 100 pale Samunge. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kanisani kwake jana, Nabii mkuu alisema alipongezwa pia na mawaziri, manaibu wao na makatibu wakuu kwa kazi yake nzuri ya kusaidia wananchi pale Samunge.
Baba yako unamjua tabia zake ?Nabii mkuu ana kashfa za kulala na wake za watu, ina maana Dr SSH halijui hilo?
Ni afadhali hata kama anatapeli ila anarejesha kwa jamii ,lema hadi anachangiwa nauli ,Rais bila kujua ametoa endorsement kwa huyu nabii kutapeli zaidi.
Unahoji utajiri wa nabii?Intelligence Services mtaarifuni rais harakati na utajiri wa George David Malembeka a.k.a Nabii Mkuu umetoka wapi.
Anzieni alipokuwa mchuuzi mitaa ya Chugga
Lema na kundi lake hawatalala leo hii walai ,mama piga sindano pale kwenye mshonoRais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan akiwa mjini Arusha katika ziara yake ya siku chache amemualika Nabii mkuuu GEODAVIE katika Ikulu ndogo ya Arusha na KUMPONGEZA kwa kutoa milion 100 pale Samunge. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kanisani kwake jana, Nabii mkuu alisema alipongezwa pia na mawaziri, manaibu wao na makatibu wakuu kwa kazi yake nzuri ya kusaidia wananchi pale Samunge.
Rais bila kujua ametoa endorsement kwa huyu nabii kutapeli zaidi.
Daaa unahasira zisizoeleweka..kwanini Ssh hakubadilisha dini ili amfuate huyo Nabii?
..huyu Maza anatapatapa na kujivunjia heshima kwa kujiweka karibu na matapeli ya kiimani.
Dish limeyumba kidogo. Subiri lirudi kwenye mstari ataalikwaπ€£π€£π€£Nilifikiri anamualika Nabii Lema.
Nabii Lemma alisema jiwe asipoacha uovu atakufa na kweli ikawa hivyo,alimuonya Sabaya asimtegemee mwanadamu (jiwe) kwani akiondoka atapata shida na kweli ikawa hivyo, alimuonya Ndungai aache uonevu la sivyo jambo baya litamkuta na kweli ikawa hivyo. Siku zote unabii unapimwa kwa kutimia kwake,hii ndiyo kanuni ya unabii.Nabii ambaye anashindwa tatua changamoto za wenye changamoto, zaidi ana anza kuwa tukana/dhalilisha...
Lema angekuja na suluhu ya matatizo anayo jinasibu kuya eleza...
Mwisho wa siku watu watamuona kama mshereheshqji tu...!
Kuhani Mussa Ubungo, wakwepa kodi wanazidi kujisogeza madarakani ili wapige hela bila wogaMwamposa Mbeya mjini
ππKuhani Mussa Ubungo, wakwepa kodi wanazidi kujisogeza madarakani ili wapige hela bila woga
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Huko CCM ni kawaida hata Askofu Chidi alivunja ndoa ya Mbasha na anadunda tu ndani ya gwanda la kijani.Nabii mkuu ana kashfa za kulala na wake za watu, ina maana Dr SSH halijui hilo?
Rais wetu anahitaji maombi sana...kwanini Ssh hakubadilisha dini ili amfuate huyo Nabii?
..huyu Maza anatapatapa na kujivunjia heshima kwa kujiweka karibu na matapeli ya kiimani.
Lema atanuna eti atamshughulikia ππRais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan akiwa mjini Arusha katika ziara yake ya siku chache amemualika Nabii mkuuu GEODAVIE katika Ikulu ndogo ya Arusha na KUMPONGEZA kwa kutoa milion 100 pale Samunge. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kanisani kwake jana, Nabii mkuu alisema alipongezwa pia na mawaziri, manaibu wao na makatibu wakuu kwa kazi yake nzuri ya kusaidia wananchi pale Samunge.
Tapeli ni babaako na mama Yako mbwa wewe !! Labda ulitanguliza matako wakati wa kuzaliwa huna akili kabisa !!..kwanini Ssh hakubadilisha dini ili amfuate huyo Nabii?
..huyu Maza anatapatapa na kujivunjia heshima kwa kujiweka karibu na matapeli ya kiimani.
Matapeli kuliko kina Lema?..kwanini Ssh hakubadilisha dini ili amfuate huyo Nabii?
..huyu Maza anatapatapa na kujivunjia heshima kwa kujiweka karibu na matapeli ya kiimani.