Rais Samia amualika nabii mkuu Geodavie Ikulu ndogo ya Arusha na kumpongeza

..kwanini Ssh hakubadilisha dini ili amfuate huyo Nabii?

..huyu Maza anatapatapa na kujivunjia heshima kwa kujiweka karibu na matapeli ya kiimani.
Kumbe nawe ni mvaa kobazi?
 
Tapeli ni babaako na mama Yako mbwa wewe !! Labda ulitanguliza matako wakati huna akili kabisa !!

..🀣

..nina uzoefu na wachangiaji kama wewe.

..huwezi kunitoa nje ya mada.

..Hii nchi ni kubwa na Raisi wake hatakiwi kujiweka karibu na matapeli kama huyo anayejiita nabii.

.
 
Ameamua kuita nabii wa uongo Ikulu, kwanini asingepumzika akaangalia hata SINEMA ZETU (Azamtv).
 
Tayarii geodev ndio mbungee wetu apa Arusha mtarajiwaaa
 
Mtoa Mada alikua na Hoja nzuri,Ila wachangiaji kwa kujua au kutokujua mkaivuruga kwa kuruhusu hisia na tafsiri pamoja na mihemko za KIDINI kuvuruga.
 
Hakuna cha wasaidizi. Ni kuwa viongozi wa siasa hutaka kujipendekeza kwa viongozi wa dini ili wapigiwe chapuo kwenye uchaguzi. Kwa kifupi wanatafuta kura na hakuna cha zaidi.
Siamini kama mkuu wa nchi anajipendekeza rejea historia,..vitangulizi vya ukoloni walikuwa Wapelelezi,..wakaja Wamisionari(Dini) then wakoloni.,..
 
Samia anayumba yumba, sio kila kitu siasa, mengine ni majanga.
 
..kwanini Ssh hakubadilisha dini ili amfuate huyo Nabii?

..huyu Maza anatapatapa na kujivunjia heshima kwa kujiweka karibu na matapeli ya kiimani.
Bado Mwamposa atampongeza kwa kuuza maji na mafuta na kufungua hotel mpya mbeya na kumiliki mashamba ya maparachichi ya kutosha ambayo anauza nje ya nchi

Akili kumkichwa
 
Pesa za sadaka. Tumezoea watu fake !
 
..kwanini Ssh hakubadilisha dini ili amfuate huyo Nabii?

..huyu Maza anatapatapa na kujivunjia heshima kwa kujiweka karibu na matapeli ya kiimani.
Kuna mashehe pia walienda kwa 'nabii mkuu' nao pia hawakubadili dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…