Rais Samia amuapisha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jacob John Mkunda na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi

Hizi protocol nazo sijui zikoje. Hivi mtu anakuja kuapishwa na ma barakoa tena? we wanted to see their faces.
 
..naona kama viongozi wetu wamechoka na hawako energetic kabisa.

..kwa mfano, wanapata shida kukumbuka majina ya viongozi wenzao, na nafasi na vyeo vyao.
Nilitaka kuandika hii kitu ila nikaiacha.

Nimesikia hapo mnadhimu akiitwa luteni kanali.

Na Luteni ikitamkwa Eltii ,

Pia kiongozi akishindwa kutamka jina la mnadhimu kwa ufasaha.
 
Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kumpangia majukumu mengine aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Venance Mabeyo. Ukumbuke kuna vijana mamilioni wamesoma wako mitaani hawana kazi, na CDF ana miaka 65. Huoni umuhimu wa Yeye akalime wengine Wala mbe asali?
 
Nilitaka kuandika hii kitu ila nikaiacha.

Nimesikia hapo mnadhimu akiitwa luteni kanali.

Na Luteni ikitamkwa Eltii ,

Pia kiongozi akishindwa kutamka jina la mnadhimu kwa ufasaha.

..labda nenda rudi kati ya Dodoma na Dsm zinawapa uchovu wa mwili na akili.

..halafu ni shughuli ya kiserikali lakini ktk itifaki viongozi wa Ccm wanatambuliwa kabla ya viongozi wa serikali.
 

Kijana gani ana uzoefu wa Mabeyo? Tena ukizingatia ni mtu aliyekuwa ndani ya intelijensia ya jeshi.
 
Mkuu unapoteza muda wako, huyo jamaa tangu kifo Cha hayati JPM amekuwa ka karukwa akili, hataki kuamini kuwa JPM is no more, Sasa kabaki kujifariji kwa mambo yasokuwa na Tija, huyo ni wakuombewa!!
 
Kijana gani ana uzoefu wa Mabeyo? Tena ukizingatia ni mtu aliyekuwa ndani ya intelijensia ya jeshi.
Kuna watu wengine sijui hata huwa wanawazia nini huwa nabaki kuwatazama tu. Kuna majukumu huwa yanahitaji Sana experience na knowledge ya field husika ila nini msamehe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…