Rais Samia amuapisha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jacob John Mkunda na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi

Hongera sana CDF Mkunda, we hope you all well.... Taifa liko imara kabisa, vijana wote mashimoni wanakutakia kheri kwenye majukumu yako.....
We mwamba comments zako samurai mzee wa vibwengo 😂😂😂😂😂
 
Sema za ukweli, kitendo cha boss mpya kutokea kwenye hadhira akiwa amevaa barakoa, kimenikwaza sana. Mtu wa nafasi hiyo hatakiwi kuogopa kifo. Huyu anatakiwa awekwe chini ya Mabeyo kwenye probation kwa miezi mitatu mingine afundishwe kazi. We cant trust a person like that...
 
Yule jamaa mwingine aliambiwaga vaa barakoa yeye akasema vile ni vimafua tu, akasema tena barakoa inafanana na ziwa 1 la mwanamke lililokatwa.Kilichofuata ITV Ni wimbo wa Taifa.
 
stop this brother, Tanzania ni mali ya Watanzania wote.... Wachaga wakisema hivi, wamakonde nao, Wahaya nao, Wakurya nao, Wanyakyusa nao .....Tanzania itabaki vipande vipande na kugeuka kuwa nchi kama 70 hivi huki zikipigana kila siku...

Robert and Davis wote bila shaka walitokea kusini, hatukusikia watu wakusini wakisema haya....
Huyo mtu uliyemjibu, angekuwa ni mtu mwingine anayasema hayo maneno watu wangestuka kuwa labda anayo ajenda maalum anayoisukuma mbele watu wastuke.
Kwa huyu, ni maudhi tu hakuna lolote la maana analowakilisha.
 
Ni mtu wa wapi huyu CDF kwanza na mengine yataendelea baadae
 
Nimefurahi baadhi ya wajumbe kupinga mada za Ukabila,kwa pamoja tupinge watu wanaoleta mawazo, itikadi nk kwa mlengo wa ukabila. Hongera CDF mpya na Mabeyo tunakutakia mapumziko mema.
 
Wasukuma ndiyo wenye nchi hii ukiwatupa wanakutupa hongera Rais Samia kwa kuwapuuza gaidi gang
Wewe utakuwa mhutu unajisingizia usukuma kwababu hamna msukuma mwenye Roho hiyo
 
Sema za ukweli, kitendo cha boss mpya kutokea kwenye hadhira akiwa amevaa barakoa, kimenikwaza sana. Mtu wa nafasi hiyo hatakiwi kuogopa kifo. Huyu anatakiwa awekwe chini ya Mabeyo kwenye probation kwa miezi mitatu mingine afundishwe kazi. We cant trust a person like that...

Anaonesha utii kwa amri jeshi mkuu.
 
Sema za ukweli, kitendo cha boss mpya kutokea kwenye hadhira akiwa amevaa barakoa, kimenikwaza sana. Mtu wa nafasi hiyo hatakiwi kuogopa kifo. Huyu anatakiwa awekwe chini ya Mabeyo kwenye probation kwa miezi mitatu mingine afundishwe kazi. We cant trust a person like that...
Its not your job kumuamini. Hiyo ni kazo ya team ya vetting na rais. Hiyo si nafasi ta kisiasa eti unawekwa probation nope.
"Hatakiwi kuogopa kifo" ni kweli , amefanya hivyo by orders za bosi wake, na kwenye kiapo chao kuna kumtii rais.
Mtaona sura yake kwenye matukio mengine
 
1656649800379.png

1656649996449.png

Mnadhimu Mkuu mpya ana Kitambi. Nimekuwa mfuatliaji sana wa JWTZ tangu ningali mdogo haijawahi kutokea CDF au CoS akawa na Kitambi ! Vitambi vingi huishia kwa mameja na maluteni kanali.
 
Huyu ni cster bwashee

Back
Top Bottom