Rais Samia amuapisha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jacob John Mkunda na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi

Rais Samia amuapisha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jacob John Mkunda na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi

Tumepigwa? Ni mzanzibar wacha mama apange safu ya anaowaamini
Angalia Mkuu wa majeshi ya Marekani.

1656650723158.png
 
Its not your job kumuamini.
May be... Its a high time I should start to mind my own business.
Nisingezaliwa Africa, may be ningezaliwa Ulaya, huenda saa hii ningekuwa dereva wa magari ya mashindano ya Formula One, and at this age ningeshakuwa na utajiri wa kutosha, ila kwa sababu Mungu kaamua nizaliwe huku Africa, siwezi kuyafumbia macho yale yenye kuweza kuwakwamua wengine. And I do it for free!
 
Kwakuwa Jenerali Mabeyo amemaliza majukumu akiwa Kijana mwenye nguvu ataendelea kuteuliwa na kupewa majukumu ili aendelee kulisaidia Taifa “Nadhani jioni leo Katibu Mkuu Kiongozi utasikia kwenye bomba tayari amekupangia kazi ya kufanya”
Akiwa kijana mwenye nguvu au akiwa mzee mwenye nguvu?
 
Back
Top Bottom