Rais Samia, amuru Tundu Lissu alipwe haki zake zote anazodai pamoja na hela ya matibabu

Kosa kubwa ambalo huwa Watanzania tunafanya ni kuamini kuwa haki zetu za kikatiba ni mapenzi,matakwa,hisani na kudra za viongozi wetu.Suala la Tindu Lissu kulipwa madai yake ni haki yake wala siyo mapenzi,matakwa,hisani au kudra ya Rais.
 
Leo nimegundua Kumbe wewe ni mke wa Tundu Lissu
 
Hastahili chochote huyo mwehu. Badala ya kufanya siasa kwa maslahi ya wananchi yupo kwa maslahi yake binafsi ndio maana ameamua kua kibaraka wa mabeberu. Kwanza hana heshima na adabu . Alimwita jpm majina mbalimbali ya dharau na kejeri sasa anamuita samia malkia ikiwa ni kumkejeri. Huyu lissu ni mtu mshenzi tu.
 
Alipwe na Ubelgiji
 
Tundulisu namkubali Sana ndio mwana siasa ninae mkubali tz nzima anaejitambua na mwenye uwelewa Mkubwa wa mambo ya ndani ya tz lakini hao wengine kwangu ni madegele Tu isipokua namba moja Tu nampenda mama Samia sababu ya suluhu zake
 
actions speaks louder than words
 
Tundulisu namkubali Sana ndio mwana siasa ninae mkubali tz nzima anaejitambua na mwenye uwelewa Mkubwa wa mambo ya ndani ya tz lakini hao wengine kwangu ni madegele Tu isipokua namba moja Tu nampenda mama Samia sababu ya suluhu zake
No one like Tundu Lissu to tell the truth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…