abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Hakuna mwenye tatizo la kuhoji, lakini Ndugai alitumika kuzuia nguvu ya kuhoji, tena ndani ya bunge wakati wa Magufuli. Hatupendi kuzuiwa kuhoji, lakini Ndugai hana moral authority yoyote ya kuhoji sasa. Umesahau alichomfanyia CAG? Alivyomuita PASKALI Mayalla tena kwa udhalilishaji mkubwa, hukumbuki alivyokuwa anawadhalilisha wapinzani walipokuwa wanahoji? Usimtetee muhuni aliyeshiriki kuzima nguvu ya wananchi kuhoji. Karma is a bitch.
Mkuu watz ni mataahira
Ukitaka kujua kama ndugai ni zero au laa angalia ujumbe wake ulivyoleta kizaazaa hadi watu wanaamua kuchamba majukwaniNdugai Ni zero brain,haihitaji kujiuliza ikiwa Yale aliyotamka alidhamiria au laah
Mbona unaongea kama hujui siasa za ccm?Badala ya kufanya kazi ashinde imani ya watanzania kuonyesha hiyo kazi anaiweza yeye anawaza kuendelea na uraisi post 2025 na mikwara kwa wanaofikiria kum challenge.
Toka aanze kazi speech aliyotoa akaonekana kama commander in chief ni moja tu ile December 27, tone aliyotumia ilikuwa na authority na message was clear.
Leo karudi kwenye mipasho na anaongea na tone utadhani yupo kwenye sherehe sijui ya taasisi gani; not a person addressing the nation.
Watanzania ndio tutaamua kama anatufaa 2025 sio kutulazimisha lazima aendelee.
Ile morning prayer inaweza ikafa kifo cha mende kwani alitegemea kumwalika Chief Hangaya ambaye leo amemponda na kitu kizito butu kichwani!Kwa hizi spana zilizoshushwa leo, sidhani kama ndugai anayo hamu ya kuitisha tena kongamano la maombi.......vinginevyo ataishia kuja na kitubio; nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana.......
Ngompa na walijama ni timu gani...Kale katimu kanazidi kudidimizwa kaburini kwa mwendazake
Acha ujuaji brother, hata wewe hona logic ndio maana umeshindwa kuvumilia mawazo ya wenzako. Curiosity inajengwa from the root kwenye taasisi ndogo ya familia hadi juu. Spika watu wanamuona mnafi kutokana na tabia yake ya kibuli na dharau watu kisa kinga ya madaraka. Kalifanya bunge chombo cha wananchi lakini kimekuwa kama kijiwe cha kahawa. Acha watu waongee watoa mawazo yao na wewe toa yakwako , uspanic wala usijione conscious kuliko wengineMawazo mfu haya, mamlaka ya urais sio mamlaka ya Mungu, kwanini isihojiwe?
Kwa akili zenu fupi mnataka kutengenzea taifa la mazezeta lisilojua kuhoji ili mfanye mtakavyo.
Ujumbe wa Ndugai umegonga mfupa ndio maana unaona watu wamepanic hadi wanachamba kwenye majukwaa!
Ndugai hata akidhalilishwa vipi, ujumbe wake umepiga pentagon na madhara yake yataishi milele
Hii panic yate ni sababu ya ujumbe ule!Kwa taarifa yako sio kwamba hatuoni ujumbe wa Ndugai uko wapi, tunauona sana, lakini hatuna muda kuwa naye kwakuwa alisimamia kuvunjwa haki za watu, huku akiendesha siasa chafu dhidi ya wapinzani huko bungeni. Hiki alichokisema sasa na anataka aungwe mkono, ndio alichokuwa anazuia wapinzani wasiseme ili kumfurahisha Magufuli. Sasa acha karma imfanyie alichokipanda.
Mataga hampendi bunge imara, mkuu wa sasa mhimili uliojichimbia chini ndio tatizo kwenu.Mkuu watz ni mataahira
Hii panic yate ni sababu ya ujumbe ule!
Lkin vipi gaidi anaendeleaje nae?
Mataga hampendi bunge imara, mkuu wa sasa mhimili uliojichimbia chini ndio tatizo kwenu, msituone wote wajinga.Mwanzoni kabisa niliwasikia watu wakisema bunge ni dhaifu.
Spika kaongea kidogo tu watu wamemvaa tena.
Kwahiyo mnataka nini??
Halafu suala la Rais wa nchi kuendelea na hili suala la mikopo ni ufinyu wa akili.
Mtu ameshaomba radhi.
Yeye bado kashikilia bango.
Poor thinking capacity.