abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Nikikumbuka ile ishu ya Lissu cwez kumsamehe huyu kiumbe hata nisikie amekufa leo.
Yatosha kumuita msaidiz mkuu wa yule kubwa la maiblis anaeramba mchanga sasa
Yatosha kumuita msaidiz mkuu wa yule kubwa la maiblis anaeramba mchanga sasa
Hakuna mwenye tatizo la kuhoji, lakini Ndugai alitumika kuzuia nguvu ya kuhoji, tena ndani ya bunge wakati wa Magufuli. Hatupendi kuzuiwa kuhoji, lakini Ndugai hana moral authority yoyote ya kuhoji sasa. Umesahau alichomfanyia CAG? Alivyomuita PASKALI Mayalla tena kwa udhalilishaji mkubwa, hukumbuki alivyokuwa anawadhalilisha wapinzani walipokuwa wanahoji? Usimtetee muhuni aliyeshiriki kuzima nguvu ya wananchi kuhoji. Karma is a bitch.