Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

Nikikumbuka ile ishu ya Lissu cwez kumsamehe huyu kiumbe hata nisikie amekufa leo.
Yatosha kumuita msaidiz mkuu wa yule kubwa la maiblis anaeramba mchanga sasa
Hakuna mwenye tatizo la kuhoji, lakini Ndugai alitumika kuzuia nguvu ya kuhoji, tena ndani ya bunge wakati wa Magufuli. Hatupendi kuzuiwa kuhoji, lakini Ndugai hana moral authority yoyote ya kuhoji sasa. Umesahau alichomfanyia CAG? Alivyomuita PASKALI Mayalla tena kwa udhalilishaji mkubwa, hukumbuki alivyokuwa anawadhalilisha wapinzani walipokuwa wanahoji? Usimtetee muhuni aliyeshiriki kuzima nguvu ya wananchi kuhoji. Karma is a bitch.
 
Kwa hizi spana zilizoshushwa leo, sidhani kama ndugai anayo hamu ya kuitisha tena kongamano la maombi.......vinginevyo ataishia kuja na kitubio; nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana.......
 
Ndugai Ni zero brain,haihitaji kujiuliza ikiwa Yale aliyotamka alidhamiria au laah
Ukitaka kujua kama ndugai ni zero au laa angalia ujumbe wake ulivyoleta kizaazaa hadi watu wanaamua kuchamba majukwani
 
Kitendo chako cha ku loose comfidence na kuomba msamaha hadaharani tena kwa woga mkubwa pamoja na maneno ya kukukaripia yaliyosemwa na Hangaya leo tena kwa dhihaka: nanukuu "...mtu na akili yake anasimama ana argue.., unategemea atakuwa na uelewa..."

Maneno hayo yanatosha kabisa kudhihirisha maneno ya Asad japo ulimuona kama adui ila sasa umethibitisha mwenyewe.

Sasa tafuta mtu mwenye busara zake akushauri nini cha kufanya na wala asikushauri ukaombe radhi maana umeshafanya hivyo na bado umechambwa. Na Chief hana tena imani nawe yani wewe na baadhi ya atakaowapangua soon mfuate tu ushauri wake kaeni pembeni na kujipanga kwa 2025 japo mimi nakushauri ukae kimya umalize kipindi chako au ujiuzulu nafasi zako zote na upige kimya pembeni maana ukipambana utaumia tu.

Pole yako
 
Badala ya kufanya kazi ashinde imani ya watanzania kuonyesha hiyo kazi anaiweza yeye anawaza kuendelea na uraisi post 2025 na mikwara kwa wanaofikiria kum challenge.

Toka aanze kazi speech aliyotoa akaonekana kama commander in chief ni moja tu ile December 27, tone aliyotumia ilikuwa na authority na message was clear.

Leo karudi kwenye mipasho na anaongea na tone utadhani yupo kwenye sherehe sijui ya taasisi gani; not a person addressing the nation.

Watanzania ndio tutaamua kama anatufaa 2025 sio kutulazimisha lazima aendelee.
Mbona unaongea kama hujui siasa za ccm?
Hata kama samia ameshindwa kuongoza nchi, kumbuka kauli ya wana-ccm ni urais kuachiana miaka 10
Sasa wewe kapige kura huko upinzani ila wakina kingai wataipeleka kura yako kwenye box la ccm
 
kujiudhuru ndo kunamfaa zaidi mzee wetu ndugai ili tukutane kiringeni
 
Siasa za kishamba TU hizi. Kila mawazo pinzani yanachukuliwa uadui na kuwa unalenga kumuangusha mwenzio. Tutachelewa sana kifika na tukifka tutakua tumechoka sana
 
Yuko vizuri mama yetu. Watu hawafanyi KAZI wanapanga 2o25 wakati mama ni mpaka 2030. Wanaunda makundi ya kujitekenya kina Ndugai hao.
 
Kwa hizi spana zilizoshushwa leo, sidhani kama ndugai anayo hamu ya kuitisha tena kongamano la maombi.......vinginevyo ataishia kuja na kitubio; nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana.......
Ile morning prayer inaweza ikafa kifo cha mende kwani alitegemea kumwalika Chief Hangaya ambaye leo amemponda na kitu kizito butu kichwani!
 
Mawazo mfu haya, mamlaka ya urais sio mamlaka ya Mungu, kwanini isihojiwe?

Kwa akili zenu fupi mnataka kutengenzea taifa la mazezeta lisilojua kuhoji ili mfanye mtakavyo.
Acha ujuaji brother, hata wewe hona logic ndio maana umeshindwa kuvumilia mawazo ya wenzako. Curiosity inajengwa from the root kwenye taasisi ndogo ya familia hadi juu. Spika watu wanamuona mnafi kutokana na tabia yake ya kibuli na dharau watu kisa kinga ya madaraka. Kalifanya bunge chombo cha wananchi lakini kimekuwa kama kijiwe cha kahawa. Acha watu waongee watoa mawazo yao na wewe toa yakwako , uspanic wala usijione conscious kuliko wengine
 
Ujumbe wa Ndugai umegonga mfupa ndio maana unaona watu wamepanic hadi wanachamba kwenye majukwaa!

Ndugai hata akidhalilishwa vipi, ujumbe wake umepiga pentagon na madhara yake yataishi milele

Kwa taarifa yako sio kwamba hatuoni ujumbe wa Ndugai uko wapi, tunauona sana, lakini hatuna muda kuwa naye kwakuwa alisimamia kuvunjwa haki za watu, huku akiendesha siasa chafu dhidi ya wapinzani huko bungeni. Hiki alichokisema sasa na anataka aungwe mkono, ndio alichokuwa anazuia wapinzani wasiseme ili kumfurahisha Magufuli. Sasa acha karma imfanyie alichokipanda.
 
Hakunaga ndoto za alinacha mbele ya mama, hayawi hayawi mtani eeeh utajua hujui mbeleko ya ukweni humbeba mwali mfundwa. Ni hayo tu

Kazi ieendelee!! mpauko pia ni rangi kama ya mtume!.
 
Kwa taarifa yako sio kwamba hatuoni ujumbe wa Ndugai uko wapi, tunauona sana, lakini hatuna muda kuwa naye kwakuwa alisimamia kuvunjwa haki za watu, huku akiendesha siasa chafu dhidi ya wapinzani huko bungeni. Hiki alichokisema sasa na anataka aungwe mkono, ndio alichokuwa anazuia wapinzani wasiseme ili kumfurahisha Magufuli. Sasa acha karma imfanyie alichokipanda.
Hii panic yate ni sababu ya ujumbe ule!

Lkin vipi gaidi anaendeleaje nae?
 
Hii panic yate ni sababu ya ujumbe ule!

Lkin vipi gaidi anaendeleaje nae?

Atampanikisha nani wakati yeye mwenyewe yuko madarakani kwa wizi wa kura? Kama angekuwa anajiamini na huo ujumbe wake asingeomba msamaha wa kufala vile.

Unadhani ukitaja neno gaidi ndio utapunguza makali ya andunje kupewa vitasa vyake?
 
Mwanzoni kabisa niliwasikia watu wakisema bunge ni dhaifu.


Spika kaongea kidogo tu watu wamemvaa tena.


Kwahiyo mnataka nini??


Halafu suala la Rais wa nchi kuendelea na hili suala la mikopo ni ufinyu wa akili.

Mtu ameshaomba radhi.

Yeye bado kashikilia bango.

Poor thinking capacity.
Mataga hampendi bunge imara, mkuu wa sasa mhimili uliojichimbia chini ndio tatizo kwenu, msituone wote wajinga.
 
Back
Top Bottom