Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

Mawazo mfu haya, mamlaka ya urais sio mamlaka ya Mungu, kwanini isihojiwe?

Kwa akili zenu fupi mnataka kutengenzea taifa la mazezeta lisilojua kuhoji ili mfanye mtakavyo.
 
Najiskia furaha sana., ndugai apewe ulinzi anaweza kujininginiza kamba shingo uko aliko, kumbe ngoma mbichi bado
 

Ndugai point is valid. Usitutishe madeni muhimu tuyajue, madeni yote , hii mikopo inafanya kazi gani?
 
Si ndo hapo!!. Ah!!,Maza anatuletea ishu za taarabu.
 
Mzee ,vipi umeme Kuna nini Tena kinaendelea ilikuwa 27 elfu kuunganishiwa, leo Mambo yamebadilika, tunaambiwa itakuwa ni tofauti tofauti kulingana na maeneo na maeneo, wengine watalupa 27 elfu, wengine gharama halisi ina maana zaidi ya hapo .
 
Kauli ya Rais ni Amri, hivyo utekelezaji ufanyike tu.
 
Spika auwashe moto tuone nani atakua mkali. Akiingia bungeni aweke pembeni swala la chama na bunge afu tuanze mijadala sasa
 
MaCCM bhana!Mtu ameomba msamaha ila bado anapigwa mawe!😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…