Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Ndugai alitakiwa kubaki na msimamo wake, kama kuvurugana wavurugane kila mmoja aoneshe makali kwa nafasi yake aliyopi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amemjibu kwa hoja labda kama wewe hukuelewaSasa labda na hio return on investment its about time to rethink our strategy...., Huyu Mama Kuendelea kushikia Bango hii issue inamfanya kuonekana petty..... Ingawa sio mbaya kujibu hoja (ila hoja hujibiwa kwa hoja na sio vioja)
Sio lazima spika wa bunge awe kibaraka wa rais.Kimsingi amekosa sifa ya kuendelea kuwa kiongozi mkubwa wa kiwango hicho,na anatakiwa asaidiwe kwa kushuka kwenye nafasi hiyo,
Alifanya kosa kubwa kusimama hadharani kuitikisa mamlaka ya urais kitendo ambacho hakijawahi kufanywa na kiongozi yoyote anaejiambua nchini, alifanya Jambo jema Sana kuomba msamaha lakini akafanya kosa jingine kubwa zaidi kutaka kutuaminisha kwamba haikuwa vile Bali watu wa mtandao waliedit,Sasa Kama waliedit anataka msamaha wa Nini?!!,maana yake sisi sote tuliokasirishwa na kitendo chake hicho (akiwemo Mh.Rais wetu ) tunamuonea?! To me an apology is not accepted, it seems Bado anaendelea kutucheza shere watanzania, CCM tunaomba mtafakari Kama huyu mtu anatosha kuwa kiongozi wa watanzania,Hata naye ajipime Kama anatosha.
Hakika mamlaka kuu huwekwa na mwenyezi mungu na asiyethubutu kuamini hili na asubiri kudhalilika tu.
Moja Kuhoji sio Kutikisa nchi au kutaka kuitikisa...Kimsingi amekosa sifa ya kuendelea kuwa kiongozi mkubwa wa kiwango hicho,na anatakiwa asaidiwe kwa kushuka kwenye nafasi hiyo,
Alifanya kosa kubwa kusimama hadharani kuitikisa mamlaka ya urais kitendo ambacho hakijawahi kufanywa na kiongozi yoyote anaejiambua nchini, alifanya Jambo jema Sana kuomba msamaha lakini akafanya kosa jingine kubwa zaidi kutaka kutuaminisha kwamba haikuwa vile Bali watu wa mtandao waliedit,Sasa Kama waliedit anataka msamaha wa Nini?!!,maana yake sisi sote tuliokasirishwa na kitendo chake hicho (akiwemo Mh.Rais wetu ) tunamuonea?! To me an apology is not accepted, it seems Bado anaendelea kutucheza shere watanzania, CCM tunaomba mtafakari Kama huyu mtu anatosha kuwa kiongozi wa watanzania,Hata naye ajipime Kama anatosha.
Hakika mamlaka kuu huwekwa na mwenyezi mungu na asiyethubutu kuamini hili na asubiri kudhalilika tu.
WoteYeye Samia anawaza, kuota na kuweweseka juu uchaguzi 2025
Nafuu ingekuwa wanawake wa mikoani,Sasa kagombana na mwanamke wa pwani,taarabu wao IPO damuni.Hayo ndio matokeo ya kugombana na wanawake ndugai atakoma atachambwa hadi achubuke
Hoja ni kushangaa mtu mzima kuhoji ? Au hoja ni kujikita kwenye justification ya value tunayopata wananchi na hio mizigo tutakayolipa hapo baadae ?