Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwel kabisaSerikali yake ituambie pesa za makusanyo ya tozo zinakwenda wapi mbona siku hizi hakuna update zozote?
Kwenye hii issue yake na Ndugai kwangu Ndugai ndie mshindi, yeye anafurahia ushindi anaodhani ameupata kwasababu tu kuna kundi kubwa la wanafiki nyuma yake wanaojali matumbo yao wako upande wake kwasababu ya mamlaka aliyonayo kama mkuu wa nchi, lakini hajashinda kwa nguvu ya hoja.
Mwanamke wa pwani sio wa kuanzisha ugomvi nae😅Kwa kuwa mama kakorofishwa Ndugai aachie ngazi, angekuwa mwanaume labda angeendelea kukaza kuongoza Bunge, ila si kwa vijembe hivyo, na sasa wataendelea hadi mwenyewe ajichukie!
Kwa katiba hii, hana ubavu huo.Atatupwa nje ya huo uspika fasfa watapewa kina Masele.Yaani Ndugai aache umama aiminye Serikali
Kwakweli baada ya kuomba msamaha sikutegemea mtu mwingine aje na hii hii agenda...Huu si uungwana...Kama mtu kakosea na ameliona kosa lake ni busara kumwelewa na kusonga mbeleMwanzoni kabisa niliwasikia watu wakisema bunge ni dhaifu.
Spika kaongea kidogo tu watu wamemvaa tena.
Kwahiyo mnataka nini??
Halafu suala la Rais wa nchi kuendelea na hili suala la mikopo ni ufinyu wa akili.
Mtu ameshaomba radhi.
Yeye bado kashikilia bango.
Poor thinking capacity.
Tena msamaha huo kawakosea Wakatoliki kwa kutumia sala yao ya kitubio:"Nimekosa Mimi, Nimekosa sana". Wakatoliki nao wamtafute wamkalishe chini, vibano viendelee.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwakweli baada ya kuomba msamaha sikutegemea mtu mwingine aje na hii hii agenda...Huu si uungwana...Kama mtu kakosea na ameliona kosa lake ni busara kumwelewa na kusonga mbele
Naungana na wewe ; kafanya kosa kubwa snaa kuomba msamaha. Alitakiwa akae kimya asi comment chochote .
Angeonekana mwanaume zaidi . Kuomba msamaha means he is dumb na Hana stand, damn it.
Mwanaume kujiamini na ametoa mawazo yake huru ambayo yalikuwa ni mazuri Tu; hii Mikopo ni ya kipuuzi maana asilimia kubwa ya hii mikopo huliwa kifisadi na Hiyo ni report ya SHIRIKA LA FEDHA LA DUNIA.
Sasa yeye angebaki hapo hapo ; kuwa kama tumekopa , tozo ishushwe zaidi .
Samia Mwenyewe na kundi lake ni fisadi tu na ni Upenyo wa rushwa, unamuomba Samahani ya Nini , kwani yeye nani , atatoka kwenye kiti kama walivyotoka wengine , I can’t pleading for my thoughts and stand , ni upumbavu
Kuweka tozo ni failure ya mama , mbona tuliishi na Ngosha bila tozo
Job sio mwanaume yule , coward , mwanaume misimamo kwa unachoamini , na mwanaume hueshimika kwa misimamo yake. Ndio maana JPM ni rais bora wa maisha.
TISS wamemshauri kuomba msamaha na yeye kaomba kweli , leo mama kamtia kidole cha nyuma na msamaha wake. Haya ndio madhara ya kukosa stand. Mwanaume kujiamini hata ukibaki alone kwenye mawazo yako, poa tu ; ipo siku some people will understand you !
Maana mm najiuliza kaomba msamaha kwa kosa gani? Africa bwana
Yaani ukitoa mawazo yako kinzani, ni kosa Dah
Pole ndungai, kumbe we lofa tu
Nimekudharau sana
Kuhoji si tatizo lakini si kwenye majukwaa ya siasa, wangefanya hayo bungeni what could have been a problem? Waziri wa fedha angebanwa na hata kama kulikuwa na shida angetakiwa yeye kuwajibika. Sasa kinachoendelea Mungu mwenyewe atusaidie, haijulikani who is who!Kwani kukopa ni dhambi kikubwa Hi yo mikopo itumike vizuri sio unakopa trion 1.3 unakula trion 1 then 0.3 ndo inatumika kwenye Miradi ya maendeleo rubbish..then job hakukosea kuhoji kwasabbu yeye ni muhimili kamili na ndo kazi ya huo muhimili labda kwa sababu ya utamaduni mbovu tulionao Rais Ana influence kupatikana kwa spika ndo maana tumezoea kuona spika anamsupport rais but haitakiwi iwe ivo ndo maana katiba mpya inatakiwa ili rais asione ameonewa kuhojiwa na spika kuhusu mambo mbalimbali
Huyu ni mkongwe kwenye siasa wewe kama ulimuona wakati anaomba msamaha utagundua kabisaa hapa hakuna anaeomba kutoka moyoni
Sema atakuwa na kiburi mahala
Kusababisha mtafaruki usio na lazima kwa raia kutokana na kauli yake mahali isipohitajikaKwani alifanya Kosa gani hadi akaenda kuomba MSAMAHA ?
Rais ni mwenyekiti wa chama atawatuma wabunge wapige kura ya kutokuwa na imani nae,,,spika ni mtu mdogo sana kwa nchi yetu
Tusichochee fujo na hasira...Hili swala limeisha tusonge mbeleNa bunge linaweza kupiga kura kutokua na imani na serikali unyama unyamani
Wale wajumbe walisimama na kumwimbia mama siju huko pia ni kumzomea spika na je, wabunge wasimama wapiKwa kuwa mama kakorofishwa Ndugai aachie ngazi, angekuwa mwanaume labda angeendelea kukaza kuongoza Bunge, ila si kwa vijembe hivyo, na sasa wataendelea hadi mwenyewe ajichukie!