Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

Hawezi fanya hivyo...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Hii imethibitisha Kali ileee ya Bunge ni dhaifu sasa kama kiongozi wao kapigwa za uso hadhalani kuna mbunge atanyanyua mdomo kuhoji utendaji wa serikali?! Kazi ya bunge ni kuhoji serikali kama sio kuisimamia but binge hili la com pekeake ndo hasara kabisa hakuna atakae thubutu kuongea but acha kiumanee tu
 
Tusichochee fujo na hasira...Hili swala limeisha tusonge mbele

Mwambie Mama yako Samia kuwa hili suala lilishaisha na amechochoea na kuliamsha

Kama mtu ameomba radhi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni ukosefu, basi jibu huwa ni moja tu kwa watu wenye maturity

You either not speak of it anymore au unasema tu ,Ndungai , Apology accepted !

Hiyo ndio maturity ya Akili kubwa; sio mambo ya kuchambana kama tupo kwenye Singeli la zuchu
 
🤣🤣🤣👇
16413170897720.jpg
 
Sasa mnaweza kuona nn maana ya mtu mzima au kiongozi na nn maana ya kuandaa watu kwenye uongozi mm nilidhani baada ya Ndugai kuomba radhi au msamaha kwa SSH ingetosha raisi kukaa kimya na kutosema chochote ili kuonyesha ukomavu kiuongozi zaidi ya Job Ndugai sasa na kama kumsema angemuita kimya kimya,sasa viongozi kujibizana hadharani inaonyesha kweli viongozi hatuna kabisa kabisa na leo imeonekana waziwazi.kweli nchi ina hali mbaya kiuongozi.
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ni Uhuru wa Mtu kusema chochote, lakini inashangaza Mtu anayetegemewa kushirikiana na Serikali kwenye safari ya maendeleo 'kuargue' kuhusu Tozo na Mkopo wa Trilioni 1.3 kwasababu taarifa zote za Uchumi zinapita kwake akisema, "Ni homa (fever) ya 2025, wasameheni"

Ameongeza, "Huwezi kuamini mtu mzima na unaenda kuargue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3 kama kwamba ndio kwamba inatokea Tanzania wakati toka tunapata Uhuru ni Mikopo kwenda mbele. Na katika Mikopo yote huu ni mkopo mzuri zaidi"
MAGOGONI MODERN TAARAB
wametoa Album Mpya ina Ngoma Sita zote Kali
1.Mtu na akili yako unahoji tozo na Mkopo
2.Stress za 2025
3.Serikali ya Mpito
4. Watakao kusumbua ni Shati ya Kijani wenzio
5.Kuna Mawaziri Mmeanza Makundi Makundi yenu
6.kuna watu nitawapumzisha Wakajiandae 2025

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii sio mara ya kwanza mhimili, wa Bunge kuto uzulia Afra A Ikulu walio karbu wamedai muhimili huo siku hizi hawapewi mialiko.

Ila Jana wakati Mzee Job akiomba Radhi kwa Rais alisema watamwalika Mh Rais awe mgeni Rasimi Sasa kwa madongo ya leo Mh ataarikwa na kukubali?

Hata hivyo Mimi siungi hoja maombi hayo kuombewa Taifa letu na wanasiasa hao.
 
Afra ndio nini mkuu?
 
Ile tozo ni maandaliz ya 2025
Serikali yake ituambie pesa za makusanyo ya tozo zinakwenda wapi mbona siku hizi hakuna update zozote?

Kwenye hii issue yake na Ndugai kwangu Ndugai ndie mshindi, yeye anafurahia ushindi anaodhani ameupata kwasababu tu kuna kundi kubwa la wanafiki nyuma yake wanaojali matumbo yao wako upande wake kwasababu ya mamlaka aliyonayo kama mkuu wa nchi, lakini hajashinda kwa nguvu ya hoja.
 
Na bado, hadi hapo watakapomtaja mtu aliempiga Lissu risasi
 
Hii sio mara ya kwanza mhimili, wa Bunge kuto uzulia Afra A Ikulu walio karbu wamedai muhimili huo siku hizi hawapewi mialiko.

Ila Jana wakati Mzee Job akiomba Radhi kwa Rais alisema watamwalika Mh Rais awe mgeni Rasimi Sasa kwa madongo ya leo Mh ataarikwa na kukubali?

Hata hivyo Mimi siungi hoja maombi hayo kuombewa Taifa letu na wanasiasa hao.
Yaan kama anapigaga k vant..bas leo chupa emty zitaokotwa sana kongwa
 
Job alichemsha kuomba msamaha ilibidi akaze tu Jambo lingeisha kwa heshima. Lakn licha ya kuomba msamaha watu wanagonga palepale kwenye kidonda sasahivi itabidi avumilie tu.
 
Serikali yake ituambie pesa za makusanyo ya tozo zinakwenda wapi mbona siku hizi hakuna update zozote?

Kwenye hii issue yake na Ndugai kwangu Ndugai ndie mshindi, yeye anafurahia ushindi anaodhani ameupata kwasababu tu kuna kundi kubwa la wanafiki nyuma yake wanaojali matumbo yao wako upande wake kwasababu ya mamlaka aliyonayo kama mkuu wa nchi, lakini hajashinda kwa nguvu ya hoja.
Majibu yote yame tolewa leo. tafuta tafuta hutuba ya leo yutube mkuu
 
Back
Top Bottom