evonik
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 3,996
- 5,156
Zaman walikuwa wakisimama kwenye platforms km hizo, wanapondwa opposition lkn Leo hii wanamazana wao kwa wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawazo mfu haya, mamlaka ya urais sio mamlaka ya Mungu, kwanini isihojiwe?
Kwa akili zenu fupi mnataka kutengenzea taifa la mazezeta lisilojua kuhoji ili mfanye mtakavyo.
Hoja gani imejibiwa zaidi ya kutoa shutuma na mipasho?Jmn si mlisema hoja inajibiwa na hoja
Mama kajibu hamtaki ama?
Mkuu watz ni mataahiraMwanzoni kabisa niliwasikia watu wakisema bunge ni dhaifu.
Spika kaongea kidogo tu watu wamemvaa tena.
Kwahiyo mnataka nini??
Halafu suala la Rais wa nchi kuendelea na hili suala la mikopo ni ufinyu wa akili.
Mtu ameshaomba radhi.
Yeye bado kashikilia bango.
Poor thinking capacity.
Kutokana na kuwaza zaidi kuhusu 2025 na matarajio yake kupotea Ndugai amejiweka pabaya huenda hata bunge likamwondoa maana amekuwa wazi kabisaa kuonesha dharau kubwa Sana kwa Mh Rais niliwahi kuleta post hapa huyu ndugai anakilichojificha mbeleni hakuamini iKama ile IWE ISIWE NA KUPORA PESA ZA MATIBABU YA LISSU KUNA SIKU MUNGU ASIYELALA ATARUDISHA TUU NA HUU NDIO WAKATI WA NDUGAI KUWAMBWA MSALABANI yeye alitibiwa kwa zaidi Billion 2 hakuona mwenzake kuwa anahitaji matatibabu hayo halafu na mwendazake akashangilia wote hawa Mungu amewaandalia fungu mahali pao hakuna rangi hawataona wakati wa Mungu ukifika
Mkuu watz ni mataahira
Kimsingi amekosa sifa ya kuendelea kuwa kiongozi mkubwa wa kiwango hicho,na anatakiwa asaidiwe kwa kushuka kwenye nafasi hiyo,
Mazombie ya CCM hayoKuna limama limoja pale lilikuwa limevaa nguo ya damu ya mzee wakat anahutubia, yule mama sijui ni nan! Yan ana kimuhe muhe...anasimama anashangilia, anaruka ruka.
Wale ndo wanafiki ogiii wale
Ujumbe wa Ndugai umegonga mfupa ndio maana unaona watu wamepanic hadi wanachamba kwenye majukwaa!Wakati Ndugai anatumiwa na Magufuli kunyanyasa na kuwadhalilisha wapinzani mliona anafanya jambo la maana. Ametumika sana kupitisha sheria kandamizi na kuvuruga sheria za bunge kwa kuita wabunge wasio na vyama bungeni, yote mliona sawa maana alikuwa anakomoa wapinzani, acha sasa adhalilishwe kwa kuambiwa mtu mzima anaargue mambo ya mkopo. Anatakiwa adhalilishwe mpaka achanganyikiwe.
Ngoma nzito hapo,maana Job ndo anamlinda Mzee Mdee na wenzake.Akimtosa itakuwaje?
Niagize mbuzi tusherekee baba watoto?Kale katimu kanazidi kudidimizwa kaburini kwa mwendazake
Ndugai Ni zero brain,haihitaji kujiuliza ikiwa Yale aliyotamka alidhamiria au laahUjumbe wa Ndugai umegonga mfupa ndio maana unaona watu wamepanic hadi wanachamba kwenye majukwaa!
Ndugai hata akidhalilishwa vipi, ujumbe wake umepiga pentagon na madhara yake yataishi milele
Mama ana shida! Ndio Ndugai ni tatizo kubwa sana lakini mama anazidi kufanya tujue zile harufu za chakula pengine pua zetu zimetuingiza chaka.
Ndugai ataombaje radhi kwa clip ambayo iko edit?Mwambie Mama yako Samia kuwa hili suala lilishaisha na amechochoea na kuliamsha
Kama mtu ameomba radhi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni ukosefu, basi jibu huwa ni moja tu kwa watu wenye maturity
You either not speak of it anymore au unasema tu ,Ndungai , Apology accepted !
Hiyo ndio maturity ya Akili kubwa; sio mambo ya kuchambana kama tupo kwenye Singeli la zuchu