Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

Mawazo mfu haya, mamlaka ya urais sio mamlaka ya Mungu, kwanini isihojiwe?

Kwa akili zenu fupi mnataka kutengenzea taifa la mazezeta lisilojua kuhoji ili mfanye mtakavyo.

Hakuna mwenye tatizo la kuhoji, lakini Ndugai alitumika kuzuia nguvu ya kuhoji, tena ndani ya bunge wakati wa Magufuli. Hatupendi kuzuiwa kuhoji, lakini Ndugai hana moral authority yoyote ya kuhoji sasa. Umesahau alichomfanyia CAG? Alivyomuita PASKALI Mayalla tena kwa udhalilishaji mkubwa, hukumbuki alivyokuwa anawadhalilisha wapinzani walipokuwa wanahoji? Usimtetee muhuni aliyeshiriki kuzima nguvu ya wananchi kuhoji. Karma is a bitch.
 
Tofauti ya mama na JPM ni ndogo sana
JPM hakutaka kabisa kukosolewa na mama vile vile.
Pia anapenda kusifiwa sifa kama walivyo fanya hao wenyeviti wa CCM
 
Mwanzoni kabisa niliwasikia watu wakisema bunge ni dhaifu.


Spika kaongea kidogo tu watu wamemvaa tena.


Kwahiyo mnataka nini??


Halafu suala la Rais wa nchi kuendelea na hili suala la mikopo ni ufinyu wa akili.

Mtu ameshaomba radhi.

Yeye bado kashikilia bango.

Poor thinking capacity.
Mkuu watz ni mataahira
 
Kutokana na kuwaza zaidi kuhusu 2025 na matarajio yake kupotea Ndugai amejiweka pabaya huenda hata bunge likamwondoa maana amekuwa wazi kabisaa kuonesha dharau kubwa Sana kwa Mh Rais niliwahi kuleta post hapa huyu ndugai anakilichojificha mbeleni hakuamini iKama ile IWE ISIWE NA KUPORA PESA ZA MATIBABU YA LISSU KUNA SIKU MUNGU ASIYELALA ATARUDISHA TUU NA HUU NDIO WAKATI WA NDUGAI KUWAMBWA MSALABANI yeye alitibiwa kwa zaidi Billion 2 hakuona mwenzake kuwa anahitaji matatibabu hayo halafu na mwendazake akashangilia wote hawa Mungu amewaandalia fungu mahali pao hakuna rangi hawataona wakati wa Mungu ukifika


Nakumbuka aliagiza CAG avuliwe viatu eti anakaguliwa na akawa anaona ni bonge la sifa. Sasa acha na yeye akutane na udhalilishaji alioona ni sahihi kufanya kww wengine.
 
Kwa wale wanaofuatilia Nigerian movies Hasa zile za miaka ya 2000, main character wa kwenye hizi filamu mara "nyingi" anakua Mlevi au lah kichaa! Hii inafanya Watu kutoutilia maanani ujumbe wake kwa sababu tu anayeongea ni ama ni "Mlevi" au "kichaa"!

Ndugai kwenye hili la Tozo namuona kama Main Character, sijasema ni kichaa au Mlevi ila NDUGAI ana point anayo hoja ya msingi!

Pesa ya Tozo ilikusanywa kujenga madarasa instead madarasa yanajengwa kwa mkopo "nafuu"!!

Suala sio mkopo una masharti nafuu kiasi Gani, suala hapa analoongea our Main Character kwenye hii Movie ni "Kwanini Pesa ya Tozo kwenye miamala ya kifedha haitumiki kujengea madarasa kama tulivyoaminishwa?"

Ni swali simple tu ambalo halikuhitaji Samia kutokwa na jasho na vijembe vyote vile, wangeweza kuitana wenyewe faragha wakamalizana.

Ila haya yote ni Ili utabiri wa Nabii Lema utimie kama alivyowahi kunena 'wakimalizana na sisi, watageukiana wenyewe kwa wenyewe"

Alamsiki
 
Kweli ajibiwe Chief aache hasira
Au hasira zake ni moja ya mazoezi ya kuigiza hasira kwenye movie yetu.
 
Mkuu watz ni mataahira

Wakati Ndugai anatumiwa na Magufuli kunyanyasa na kuwadhalilisha wapinzani mliona anafanya jambo la maana. Ametumika sana kupitisha sheria kandamizi na kuvuruga sheria za bunge kwa kuita wabunge wasio na vyama bungeni, yote mliona sawa maana alikuwa anakomoa wapinzani, acha sasa adhalilishwe kwa kuambiwa mtu mzima anaargue mambo ya mkopo. Anatakiwa adhalilishwe mpaka achanganyikiwe.
 
Kimsingi amekosa sifa ya kuendelea kuwa kiongozi mkubwa wa kiwango hicho,na anatakiwa asaidiwe kwa kushuka kwenye nafasi hiyo,

Kama mtakumbuka Ndugai aliwahi kusema kuwa analo file kule MIREMBE HOSPITAL. Jinsi mambo yanavyomuendea ningeshauri kuwa" he should be put under 24 hours close watch" kwani anaweza kufanya mambo ambayo yatatushangaza!
Hatua za kumuondolea mzigo wa kuwa spika zichukuliwe upesi ili kuilinda afya yake na familia yake. He is currently unstable upstairs.
 
Wakati Ndugai anatumiwa na Magufuli kunyanyasa na kuwadhalilisha wapinzani mliona anafanya jambo la maana. Ametumika sana kupitisha sheria kandamizi na kuvuruga sheria za bunge kwa kuita wabunge wasio na vyama bungeni, yote mliona sawa maana alikuwa anakomoa wapinzani, acha sasa adhalilishwe kwa kuambiwa mtu mzima anaargue mambo ya mkopo. Anatakiwa adhalilishwe mpaka achanganyikiwe.
Ujumbe wa Ndugai umegonga mfupa ndio maana unaona watu wamepanic hadi wanachamba kwenye majukwaa!

Ndugai hata akidhalilishwa vipi, ujumbe wake umepiga pentagon na madhara yake yataishi milele
 
Mama vunja bunge halafu uitishe uchaguzi, kumchinja kobe timing tu.
Kwenye uteuzi wa wagombea wa CCM unachinja sukuma gang wote,
 
Ujumbe wa Ndugai umegonga mfupa ndio maana unaona watu wamepanic hadi wanachamba kwenye majukwaa!

Ndugai hata akidhalilishwa vipi, ujumbe wake umepiga pentagon na madhara yake yataishi milele
Ndugai Ni zero brain,haihitaji kujiuliza ikiwa Yale aliyotamka alidhamiria au laah
 
Waliopo karibu na Speaker waandae kamba! Lolote linaweza kutokea.
 
Mwambie Mama yako Samia kuwa hili suala lilishaisha na amechochoea na kuliamsha

Kama mtu ameomba radhi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni ukosefu, basi jibu huwa ni moja tu kwa watu wenye maturity

You either not speak of it anymore au unasema tu ,Ndungai , Apology accepted !

Hiyo ndio maturity ya Akili kubwa; sio mambo ya kuchambana kama tupo kwenye Singeli la zuchu
Ndugai ataombaje radhi kwa clip ambayo iko edit?
Yeye ndugai atuonyeshe clip nzima ambayo haina edit
 
Back
Top Bottom