Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Aliyekwambia Upadri unavuliwa nani?Alianza kuvuliwa upadri. Sasa kavuliwa ubalozi. Kitakachofuata kumvua ni nini?
Ungekuwa mkatoliki usingeongea mambo ya kuchekesha kama haya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyekwambia Upadri unavuliwa nani?Alianza kuvuliwa upadri. Sasa kavuliwa ubalozi. Kitakachofuata kumvua ni nini?
Kanisa limeukataa Mkataba wa Bandari !!.Kanisa likisha kukataa wewe hufai duniani mpaka mbinguni. Sisi wakatoliki tunajua hivyo.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo we mbinguni unakubalikaKanisa likisha kukataa wewe hufai duniani mpaka mbinguni. Sisi wakatoliki tunajua hivyo.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
UMEIWEKA vzrNi kawaida ya ccm kuwatumia watu kama toilet paper! Kifuatacho hapo ni kukamatwa na kupandishwa kizimbani kwa mashtaka ya uchochezi
I hope wwnye akili wamenielewaNi Kama Ndugai tu[emoji38][emoji38][emoji38]
Feminist watanipiga mawe ila ukweli ndio huo.Ingawa ni baadhi yao ila kwa kiasi inazidi kudhihirisha mwanamke kuwa na madaraka ya juu ni tatizo katika jamii haswa kwa katiba kama yetu, sio mbali sana ya ndugai tulivyo shuhudia!
Kachambe mkuukimavi kimemuingoa
Watanzania ama chawa? Usichanganye kila mtu na ww. Kwa sasa watu wanauelewa wa hali ya juu, hivyo vyeo kwa sasa ni upuuzi kama upuuzi mwingine. Vyeo ambavyo unapewa kama hisani, hivyo sio vyeo.
Mwite awe babako wa kufikia
RC walimfuta u padreWewe mzee hebu jitafakari kama akili yako ipo sawa. Ulianza kuvuliwa upadri , Ukaingia kwenye siasa Chadema wakakuvua uanachama baada ya kusaliti chama chako na kuingia CCM. Leo hii tena umevuliwa Ubalozi cheo ulichopewa na CCM baada ya kuhama kutoka Chadema...
Aliyesema upadre unavuliwa nani?Kizee hicho kimechanganyikiwa
Kimevuliwa upadri
Kimevuliwa ubalozi
Anachoweza ni uchochezi tu .
Mzee wa hovyo.