Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Vipi Maisha ya Wazazi sasa yatabadilikaSafi,Hongera Mh Rais Hatuwezi Kuwaweka Kwenye Mamlaka Watu Wanao Hamasisha Uvunjifu wa Amani Kwa Maslahi Yao Binafsi Hali ya Kuwa Atakaeteseka Ni Mwananchi Maskini Asie Na Pesa Ya Kukimbia Nchi Wakati Wa Machafuko.
Wewe akili yako hua inawaza upumbavu wa mambo ya kishirikina tu,chakusikitisha kuna wapuuzi hua wanakuona wa maana kwa kujaza issue za mambo yakusadikika humu,Dunia inaenda kwa kasi sana kwenye teknolojia ila wewe akili yako iliishia kuwaza upuuzi wa ushirikina tu.
Hutamsikia tena. Labda kama hajipendiSlaa ashikilie zaidi hapohapo
Tuendelee kuona mtanange
Ukiwa kiongozi lazima uwe mvumilivu.
Kama hutaki kukosolewa basi wewe hufai kuwa kiongozi.
Hawa ni wajinga wa jukwaaAlipokuwa anaushi Canada alikuwa na hiyo hadhi?
Hahahaha niliwambie Rais huwa anapenda neno uhuru na haki za binadamu lakini kiukweli pengine huwa hayaelewi maana yake….Slaa ashikilie zaidi hapohapo
Tuendelee kuona mtanange
Ukiwa kiongozi lazima uwe mvumilivu.
Kama hutaki kukosolewa basi wewe hufai kuwa kiongozi.
Jaribuni muoneHapati .ananyimwa kama lisu alivonyimwa kwani mtafanyaje?
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Wakina Mbowe bado wana hadhi hata huko nje wanatambulika kama viongozi wa oppositiona part.Hyo hadhi unaipata mara na baada ya kuwa au kuwahi hudumia kama balozi
Kwa akili zako ndogo unafikir Dr. Slaa anapambania nchi?"Hadhi ya Ubalozi"?
Hiyo ni kitu gani ukilinganisha na "Hadhi ya Kupambania nchi"?
Kwa hiyo hii ndiyo njia inayowanyamazisha wajaza matumbo kama akina Kabudi na wengine wengi wasivuliewe "Hadhi"?
Nisiwe mnafiki!Ni kawaida ya ccm kuwatumia watu kama toilet paper! Kifuatacho hapo ni kukamatwa na kupandishwa kizimbani kwa mashtaka ya uchochezi
Nilichokisema kwa mwenye akili lazma anielewe ila kama unataka ubishani sawaWakina Mbowe bado wana hadhi hata huko nje wanatambulika kama viongozi wa oppositiona part.
Unafikiri Dr Slaa ni mwenzio eeehAende akaongoze vigango huko maana hata chadema hawamtaki.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app