Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

Slaa ashikilie zaidi hapohapo
Tuendelee kuona mtanange


Ukiwa kiongozi lazima uwe mvumilivu.
Kama hutaki kukosolewa basi wewe hufai kuwa kiongozi.
Hahahaha niliwambie Rais huwa anapenda neno uhuru na haki za binadamu lakini kiukweli pengine huwa hayaelewi maana yake….

Ukitaka kujua haelewi maana ya hayo maneno wewe angalia matendo hasa hili la Dr Slaa!
 
"Hadhi ya Ubalozi"?

Hiyo ni kitu gani ukilinganisha na "Hadhi ya Kupambania nchi"?

Kwa hiyo hii ndiyo njia inayowanyamazisha wajaza matumbo kama akina Kabudi na wengine wengi wasivuliewe "Hadhi"?
Kwa akili zako ndogo unafikir Dr. Slaa anapambania nchi?

Unafikir angekuwa bado yupo kwenye payroll angesema lolote?
 
Ni kawaida ya ccm kuwatumia watu kama toilet paper! Kifuatacho hapo ni kukamatwa na kupandishwa kizimbani kwa mashtaka ya uchochezi
Nisiwe mnafiki!

Binafsi siiafiki ishu ya bandari na DPW. Ila nafurahia sana uamuzi wa Rais kumvua hadhi Dr Slaa. Huyu ni msaliti wa hali ya juu. Aliisaliti Chadema kipindi ambacho ilikuwa inahitaji nguvu ya pamoja ya kila mtu. Akakimbia na kuanza kuitukana Chadema. Alikuwa na nyodo sana. Akasema, hapendi wanaosema Mbowe sio Gaidi. Akasema, suala la Lissu kupigwa risasi ni jambo la kawaida kabisa.

Werawera Samiaaaaah!!! Acha aumbuke
 
Back
Top Bottom