Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

Wewe mzee hebu jitafakari kama akili yako ipo sawa. Ulianza kuvuliwa upadri , Ukaingia kwenye siasa Chadema wakakuvua uanachama baada ya kusaliti chama chako na kuingia CCM....
Una uhakika alivuliwa upadre Chief
 
Vyovyote Vile, Ila Huwezi Kuelewa Umuhmu Wa Amani Mpaka Itakapo Ondoka, Huo Ujasiri Ulionao Hapo Wa Kuchukua Simu Yako Na Kuqoute Coment Yangu Ni Kwasababu Ya Hii Amani Unayotamani Itoweke Kwa Maslah Ya Watu Ambao Hawawezi Kukukmbuka Wewe Wakifanikisha Azma Yao
Amani kila mtu anaitaka, lakini kamwe haipaswi kutumiwa kama fimbo ya kuwachapia walalahoi panapotokea unfair distribution of resources na wao (walala hoi) kuanza kulalamika na kuwatishia eti "mkiendelea kulalamika amani itatoweka na mtashindwa hata kushika simu", huo ni upuuzi.
 
Kisa kapinga DP world..kwanza anamvua kwani alimpa yeye?? Huyu bibi kweli zu.m.b.u.k.uku.
Kwenda huko wewe uliyekosa adabu na heshima.Alipewa na Mtu mwenye cheo cha Urais na sasa Amevuliwa na Rais . Aendelee na matusi na lugha zake za uchochezi aone kama hajatupwa Ndani kujieleza .
 
Yah inaleta zaid ya ugali sababu anapewa huduma zote za ki vip iwe ndani au nje ya tz na ilikuwa ana passport ya diplomat but now mkavu tu hata kuruta anamkwida mkanda
Kumbe ata ukitenguliwa unakuw bado VIP katk hadhi ya x- balazo had rais akuvue kbsa
 
Safi sana huyu mzee slaa ni mnafiki sana, hafai.
Kabobea kwenye unafiki. aliwasaliti chadema kwaajili ya cheo cha ubalozi lakini cha kushqngaza leo hii tena yupo chadema!
Mbona unapaniki au alishawahi kukuvua chupi na wewe
 
Tatizo letu Africa ni 'political tolerance' ambapo hoja kinzani dhidi ya viongozi na watawala hutafasiliwa kuwa ni usailti au uasi.Mungu atuhurumie.
1686692474659.jpg
 
Back
Top Bottom