Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lenu mukiambiwa ukweli munavimba nusura ya kupasuka ila usisahau kinachokupa hiyo jeuri ni amani iliyopo hapa nchin unayotamani itoweke kwa maslahi ya usiowajua japo unajihis shujaaNyie ni wale wajinga wa jukwaa? Huu ushuzi kawaeleze wazee vijiweni juenda wakanunua huu ushauri wako
Au muoe uoneWanawake ni watu wenye roho mbaya sana, ukitaka kuiona rangi halisi ya mwanamke we mpatie madaraka ama pesa
Kwanza Upadri huwa hauvuliwi unaweza kuavhwa usitoe huduma ila unabakia na Upadri wako maisha yoteAcha upotoshaji wa kijinga, Slaa hakuvuliwa upadre bali aliamua kuachana na upadre. CDM hakufukuzwa bali aliondoka baada ya CCM kumpokea fisadi Lowassa. Ubalozi wa Tanzania nao ni kitu cha kujivunia, ungekuwa ubalozi wa US hapo wangalau.
Hapa ndio imedhihirika hivi vyeo ni kwa ajili ya kuwafunga watu midomo. Kumvua Slaa ubalozi baada ya kupigania raslimali za nchi ni sifa wala sio aibu. Labda kwenu chawa ndio mnaona ni pigo.
Niliwahi kusikia mahali kuwa cheo na hadhi ya ubalozi huwa havifutiki....yaani ukishapewa hiyo hadhi ya balozi basi ni moja kwa moja wanasema once a soldier always a soldierKumbe ata ukitenguliwa unakuw bado VIP katk hadhi ya x- balazo had rais akuvue kbsa
Hao ni vilaza wa TaifaAliyekwambia Upadri unavuliwa nani?
Ungekuwa mkatoliki usingeongea mambo ya kuchekesha kama haya.
Na Magufuli atavuliwa urais hivi karibuni, kisa ni waraka wa TEC. Wakatoliki mjiandae kwa visasiDKt Wilbroad Slaa amevuliwa hadhi ya ubalozi kuanzia leo Septemba 1, 2023.
Taarifa imetolewa hivi punde na Ikulu katika mtandao wa kijamii wa X ama Twitter.
Hayati Rais John Pombe Magufuli alimteua Dkt. Willibroad Slaa ambaya ni Katibu Mkuu wa zamani wa chama cha Upinzani, CHADEMA kuwa Balozi mnamo Novemba 23, 2017
Julai 22, Dkt. Slaa aliizungumza na Wananchi kupitia vyombo vya habari akisema ni kwa ajili ya kuelimisha wananchi kuhusu kasoro zilizopo kwenye mkataba wa uwekezaji katika bandari ya Dar es Salaam.
Aliweka wazi kuwa hapingi uwekezaji katika bandari hiyo ya Dar es Salaam bali anapinga mkataba wa uwekezaji kwa kueleza kuwa hauna maslahi kwa Taifa.
Aidha, siku alisema kuwa “Najua maneno hayo ni makali… nimepokea vitisho na mimi pia sio tu Mawakili, wengine wakasema ubalozi wako tutachukua, nawaambia chukueni sasa hivi, siishi kwa ajili ya ubalozi. Nimesema sina chama najiamini najau ninachosimamia“
Dk Slaa alizaliwa Oktoba 29, mwaka 1948 wilayani Karatu. Alipata elimu ya msingi katika shule za Karatu na Kwermusi (Mbulu) kati ya mwaka 1958 na 1965.
Alisoma elimu ya sekondari katika Shule za Dung’unyi Seminari na Itega Seminari kati ya mwaka 1966 na 1971.
Ni kiongozi mwenye stashahada tatu pamoja na shahada ya Uzamivu (PhD). Anayo Shahada ya Uzamivu (PhD ) katika Sheria ya kanisa kutoka Chuo Kikuu cha St. Urban, Rome. Pia anastashahada ya Theolojia kutoka Kipalapala Seminari, Stashahada ya falsafa kutoka Kibosho Seminari, Stashahada ya Afya ya Macho kutoka Kituo cha Kimataifa cha Macho.
Amewahi kuwa padri wa Kanisa Katoliki kuanzia mwaka 1977 hadi 1991, akishika nafasi za kiutawala katika kanisa pia. Amepata kuandika vitabu vitatu ambavyo ni Utimilifu wa Msichana (1977), Utimilifu wa Mvulana (1977) na Expediency and exigency Liturgical Legislation (1981).
Ni mzungumzaji wa Lugha nane kwa ufasaha; ambazo ni Kiswahili, Kiingereza, Kilatini, Kiitaliano, Kijerumani, Kihispania, Kireno na Kifaransa.
Siku ya Alhamisi, Novemba 23, 2017 Aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli alimteua Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kuwa balozi. Alikuwa Balozi wa Sweden, pia ailiidhinishwa kwa Nchi za Denmark, Finland, Norway, Iceland, Estonia, Latvia, Ukraine na Lithuania.
Kipindi Dk Slaa anateuliwa kuwa Balozi, alikuwa anaishi Canada, alitangaza kuachana na siasa kutokana na kutofautiana na chama chake katika kumpokea Edward Lowassa aliyehama kutoka CCM na baadaye kumpitisha kuwa mgombea urais kupitia muungano wa vyama vya siasa wa Ukawa.
Pia, soma: Balozi Dkt. Wilbroad Slaa kuvuliwa ubalozi na kukamatwa!
Wakupe wewe ubalozi mwashambaKwenda huko wewe uliyekosa adabu na heshima.Alipewa na Mtu mwenye cheo cha Urais na sasa Amevuliwa na Rais . Aendelee na matusi na lugha zake za uchochezi aone kama hajatupwa Ndani kujieleza .
Rais samia anapendwa sana na mamilioni ya watanzania ndio maana Anaendelea kuungwa mkono kila kona ya nchi yetu. Kama humpendi ni wewe na familia yako tu ambayo unaweza kuta hata mkeo anampenda na kumuunga mkono mh Rais wetu , kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wote.Yaan chukinwaliyonayo watu dhidi ya mama naona atavunja recodi ya magu
Leo umejua sasa kuwa haikuwa kweli ... hongeraNiliwahi kusikia mahali kuwa cheo na hadhi ya ubalozi huwa havifutiki....yaani ukishapewa hiyo hadhi ya balozi basi ni moja kwa moja wanasema once a soldier always a soldier
😂😂😂 mtu anakwambia Upadre unavuliwa.Hao ni vilaza wa Taifa
Mbona umepaniki au alishawahi kukuvua chupiSafi sana huwezi kuwa mhaini balozi wa nchi. Kule russia Putin kamuua kabisa Prigohzin
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
We kilza Upadri huwa hauvuliwi, nyie ndio wale vilaza wa JfRC walimfuta u padre
Chadema wakamtimua Kwa usaliti
Serikali imemvua Ubalozi
Huyo ni nyoka hakubaliki popote
Hujui unachozungumzia hivi hamujifunzi kwa nchi za wenzenu? Au umezaliwa jana jion hujui historiaMachafuko yapi unayoyazungumzia wewe ambayo hayapo?? Kijana graduate kuwa dereva wa bodaboda sawa na yule form four failure, wewe hauoni kama hayo tayari ni machafuko??
Habari kubwa ni juu ya uchapa kazi uliotukuka wa Rais samia ambao umekuwa wa mfano barani Afrika na ulio leta mabadiliko chanya kwa maisha ya watanzania.Hii wala si habari kubwa,habari kubwa ni Bandari zetu.
😂😂😂😂😂😂😂😂Rais samia anapendwa sana na mamilioni ya watanzania ndio maana Anaendelea kuungwa mkono kila kona ya nchi yetu. Kama humpendi ni wewe na familia yako tu ambayo unaweza kuta hata mkeo anampenda na kumuunga mkono mh Rais wetu , kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wote.
Ataelewa wapi kilaza wa Jf huyoAliyesema upadre unavuliwa nani?
Unaelewa hata maana ya upadre?
Tukubali tu, haswa hawa wanawake wa kwetu wa kiswahili.Wanawake ni watu wenye roho mbaya sana, ukitaka kuiona rangi halisi ya mwanamke we mpatie madaraka ama pesa
Nadhani huijui amani, bali unaondelea uoga. Jinsi mnavyopora uchaguzi na watu wako kimya hapo unaweza kujivunia amani? Ama hujui amani maana yake ni nini?Vyovyote Vile, Ila Huwezi Kuelewa Umuhmu Wa Amani Mpaka Itakapo Ondoka, Huo Ujasiri Ulionao Hapo Wa Kuchukua Simu Yako Na Kuqoute Coment Yangu Ni Kwasababu Ya Hii Amani Unayotamani Itoweke Kwa Maslah Ya Watu Ambao Hawawezi Kukukmbuka Wewe Wakifanikisha Azma Yao