Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

Hicho kitu wamepewa na Waarabu nafikiri ni kitamu sana.

20141018_MAP004_0.jpg
 
Mwanamke akisema tena kuhusu mwanamke = "wanawake hampendani"
Na kwa mwanaume akisema kitu kuhusu mwanaume inakuaje?
Nitajie mambo matano (5) tu yanayokufanya umchukie Rais samia mimi nitakutajia mambo 100 mazuri aliyoyafanya ndani ya hii miaka yake miwili ya uongozi.
 
Hao akina Mwabukusi hawana wa kumtisha .labda wakatishe walevi wenzao huko.
Sasa akishafuta ubalozi wa dr Slaan then what?? Thats bad political move, mtu kama mwabukusu huna cha kumfutia atazidi kukuchefua tu kwa sababu anajua uko short tampered, kama mpo karibu na mama (madam KV) mshaurini vyema bhana achague moja kuwa benevolent dictator ama Mwanademokrasia kibaraka. BTW kwa upande wa hapa Kizimkazi Hanson's choice hakuna, mama aangalie hili pia
 
Lakini bado Maswali kuhusu bandari yataendelea kuulizwa na atatakiwa kuyajibu! Tuliwambia kuwa huyu Rais awezi kustahimili vishindo kama anayojigamba hahahahahah kiko wapi? Sasa ubalozi ulikuwa unamsaidia nini Dk Slaa? [emoji1787] [emoji23][emoji23][emoji23]

Maswali na hoja za bandari zikijibiwa vyema wala ubalozi wa mtu hautokuwa kikwazo
Mama anatamani ata kumvua Urais wa TEC Askofu Ngalekumtwa!ila sasa ndiyo hawezi,ameamua kumalizia hasira zake kwa Dr Slaa![emoji1787]
 
DKt Wilbroad Slaa amevuliwa hadhi ya ubalozi kuanzia leo Septemba 1, 2023. Taarifa imetolewa hivi punde na Ikulu katika mtandao wa kijamii wa X ama Twitte...
Mama anatamani ata kumvua Urais wa TEC Askofu Ngalekumtwa ila ndiyo hawezi![emoji1787]
 
Sasa akishafuta ubalozi wa dr Slaan then what?? Thats bad political move, mtu kama mwabukusu huna cha kumfutia atazidi kukuchefua tu kwa sababu anajua uko short tampered, kama mpo karibu na mama (madam KV) mshaurini vyema bhana achague moja kuwa benevolent dictator ama Mwanademokrasia kibaraka. BTW kwa upande wa hapa Kizimkazi Hanson's choice hakuna, mama aangalie hili pia
Haha you looking fo hanson choice. Kahawa, kashata aitoshi?
 
Kwa cvs hiyo eti ndio umfananishe na wazee wa paje!!!! Astaghaaaafffiilaaaaaaah.................maustazi mjipange sana kwa walaka wa tec........Padri huyooo tena phd
 
Kisa kapinga DP world..kwanza anamvua kwani alimpa yeye?? Huyu bibi kweli zu.m.b.u.k.uku.
Jf hiyooo, nasikia humo wote ni great thinkers.......yaani hadi huyu🤣🤣🤣🤣

Uzuri wa mama huwa hajibizani jibizani na wajinga au wapumfavu, ye anatenda kisha anaendelea na mambo yake!!
 
Wanaomshangaa Mama kumvua ubalozi kwani ndiyo mara ya kwanza huyu Mzee kuvuliwa?

Angalia CV yake - Huyu ni Mzee wa kuvuliwa:-

*kavuliwa upadri

*kavuliwa CCM

*kavuliwa CHADEMA

*kavuliwa kwenye ndoa
Na sasa

*kavuliwa ubalozi
IMG-20230901-WA0050.jpg
 
Back
Top Bottom