Rais Samia ana dalili za kuwa Rais bora kama Nyerere na Mkapa. Anaonekana kuwaacha mbali Magufuli na Kikwete

Tunaposema ni tatizo la Dunia inflation, hiyo Marekani na German wapo Mars??? Humu ni for great thinkers only. Unatuchosha

Lazima uchoke kwasababu kichwa huna bali una kifuu juu ya mabega yako!! Huna hata macho kuona nchi ndogo kama RWANDA inavyohangaika kuwalinda wananchi wake na huu mfumuko wa bei!! Mnabakia kusifia tu mnadhani mtapewa upenyo wa kwenda kufanya kazi serikalini ili mkaibe; pumbafu kabisa nyie.
 
Nashukuru Boss
 
Hivi kwanini kipindi cha Jk Nyerere kulitokea majaribio kadhaa ya mapinduzi pamoja na kuonekana kuwa alikuwa mbora katika urais wake, au propaganda ndio zilieneza ubora wake.
 
Kuwa mzalendo tumia akili kidogo; usikubali kutumiwa huku unaangamiza nchi yako! Jitambue mwananchi hakuna dhambi kubwa kuliko kukubali kuwa mpumbavu.
Wewe unae tumia akili zako sasa,

Weka solution zako hapa na ziwe applicable kwa nchi utaonekama tu. Wenye akili wenzako watakusoma tu. Na sisi tusio na akili tutapata maarifa kutoka kwako mwenye akili. No hard feelings.
 
Hivi kwanini kipindi cha Jk Nyerere kulitokea majaribio kadhaa ya mapinduzi pamoja na kuonekana kuwa alikuwa mbora katika urais wake, au propaganda ndio zilieneza ubora wake.
Kwani unadhani mapinduzi hayaratibiw hadi sasa?

Kipindi cha Magufuli yemakuwapo mipango Kama mara 5 yote inafeli dah nimekumbuka DODOMA HOTEL nyie siyo kila habari watamwaga hapa!

Kwa Kikwete ndo haikuwa ila Kwa Mkapa ya Kimya y alikuwapo
 
Wewe unae tumia akili zako sasa,

Weka solution zako hapa na ziwe applicable kwa nchi utaonekama tu. Wenye akili wenzako watakusoma tu. Na sisi tusio na akili tutapata maarifa kutoka kwako mwenye akili. No hard feelings.

I have given ideas of how we can buy oil at lower prices if we have people who can apply commodity trade principles!! Mtu asikudanganye kuwa kwenye Soko la dunia wote wananunua mafuta kwa bei moja; hapana! Read my threads on this issue. Thanks for the challenge.
 
Kwani unadhani mapinduzi hayaratibiw hadi sasa?

Kipindi cha Magufuli yemakuwapo mipango Kama mara 5 yote inafeli dah nimekumbuka DODOMA HOTEL nyie siyo kila habari watamwaga hapa!

Kwa Kikwete ndo haikuwa ila Kwa Mkapa ya Kimya y alikuwapo
Nilikuwa natafuta fact,
Kwanini nadhani mapinduzi hayaratibiwi hadi sasa, kwa sababu ya demokrasia iliyopo (japo kwa uchache). Kipindi cha Mwl Nyerere chama kilikuwa kimoja tu watu hawakupa sehemu ya kusemea na inasemekana kipindi hicho watu walipotea
bila kujulikana.

Kama kweli usemayo kuwa kipindi cha Magufuli ilikuwepo mipango ya mapinduzi zaidi ya mara 5, Bado sababu yaweza kuwa kama hiyo hiyo ya ubinywaji wa demokrasia, kubali usikubali, ukiwa na uwezo wa kuyazuwia maji kazima ujuwe maji yatatafuta sehemu nyingine ya kupasua.
 

You are not serious
 
Hii ni aina gan ya ndoto
 
Tujifunze KUJADILI issues na sio KUJADILI watu Kama taifa,Serikali iliyopo inapaswa kutatua changamoto zetu bila kuja na sababu yoyote ndio maana wapo hapo. Naomba tumsaidie Rais kuzitatua katika sehemu na nafasi zetu
 
Tupunguze kusifia kila kitu vingine tukosoe Kama taifa bila kudhalilisha utu wa mtu.Kila Jambo na wakati wake ukumbuke
 
Wacha kelele ziliquote hapa hizo idea.

Hujui chochote kuhusu suala zima la mafuta la nchi hii.

Kuna Sheria na taratibu zake, aamki asubuhi Raisi anasema kesho hakuna kunywa chai na inakuwa Sheria. Taratibu za uagizwaji mafuta ziliwekwa na Bunge na Raisi kazi yake ni kuzisaini tu zianze kazi mara moja. Hata kama kuna udharula wa kuzibadilisha vile vile Raisi hana hayo Mamlaka bila kushirikisha Bunge.

Ndio hicho hicho kilichomkuta Mhe. Makamba kugusa Tozo ya Tzs 100 kwenye mafuta bila kufuata taratibu za kisheria.

Jambo limetokea, mmeisharusha mishale kwa Mama wa watu (Hakuna Raisi anayependa kutawala watu wenye majonzi, zaidi inategemea anaamini kwenye kitu gani katika kuleta MAENDELEO ya kweli kwa watu wake) angekataa kusaini mabadiliko ya uagizwaji mafuta kwa hii dharula iliyotokea hapo sawa.

Mkumbuke maamuzi ya Nchi hii hayaendeshwi kwa hisia na mwamko wa mtu mmoja. Inawezekana kwa mihemko ya kisiasa chama kikapitisha mwehu kuwa Raisi wa nchi bila kujua, sasa kama kila kitu anaachiwa mtu mmoja atoe maamuzi ndio mtajua madhara yake.[emoji38][emoji38][emoji38]

Raisi kashauriana na mke/ mme wake kitandani, asubuhi ana amka anataka taifa zima tupite anapotaka kisa kashauriana na mwenzake kitandani?????

Idea zako baki nazo tu, lipo Bunge humo kuna (wachumi/watunga sera/ wanasheria) na watu waliochaghuliwa kushughulikia na kujadili mambo mazito yanayowakabili wananchi.
 

Watanzania mnapenda sana kutafuta matatizo hata mahali yasipokuwepo mradi mjinyime furaha na kuacha kuandika hoja fikirisha. Hakuna cha sukuma gang wala msoga Gang. Kuna nyie ambao Maisha ya Familia ni changamoto Sasa mnahamishia online. Bifu bifu ndo mtaji.
 
Acha kufananisha Nyerere na watu wa kawaida!! Huyu level zake ni akina msukuma au hata kibajaji TOFAUTI Yao ni huyu ana mamlaka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…