I have given ideas of how we can buy oil at lower prices if we have people who can apply commodity trade principles!! Mtu asikudanganye kuwa kwenye Soko la dunia wote wananunua mafuta kwa bei moja; hapana! Read my threads on this issue. Thanks for the challenge.
Wacha kelele ziliquote hapa hizo idea.
Hujui chochote kuhusu suala zima la mafuta la nchi hii.
Kuna Sheria na taratibu zake, aamki asubuhi Raisi anasema kesho hakuna kunywa chai na inakuwa Sheria. Taratibu za uagizwaji mafuta ziliwekwa na Bunge na Raisi kazi yake ni kuzisaini tu zianze kazi mara moja. Hata kama kuna udharula wa kuzibadilisha vile vile Raisi hana hayo Mamlaka bila kushirikisha Bunge.
Ndio hicho hicho kilichomkuta Mhe. Makamba kugusa Tozo ya Tzs 100 kwenye mafuta bila kufuata taratibu za kisheria.
Jambo limetokea, mmeisharusha mishale kwa Mama wa watu (Hakuna Raisi anayependa kutawala watu wenye majonzi, zaidi inategemea anaamini kwenye kitu gani katika kuleta MAENDELEO ya kweli kwa watu wake) angekataa kusaini mabadiliko ya uagizwaji mafuta kwa hii dharula iliyotokea hapo sawa.
Mkumbuke maamuzi ya Nchi hii hayaendeshwi kwa hisia na mwamko wa mtu mmoja. Inawezekana kwa mihemko ya kisiasa chama kikapitisha mwehu kuwa Raisi wa nchi bila kujua, sasa kama kila kitu anaachiwa mtu mmoja atoe maamuzi ndio mtajua madhara yake.[emoji38][emoji38][emoji38]
Raisi kashauriana na mke/ mme wake kitandani, asubuhi ana amka anataka taifa zima tupite anapotaka kisa kashauriana na mwenzake kitandani?????
Idea zako baki nazo tu, lipo Bunge humo kuna (wachumi/watunga sera/ wanasheria) na watu waliochaghuliwa kushughulikia na kujadili mambo mazito yanayowakabili wananchi.