WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Kwa watu wote wanaosoma sheria lazima wawe watu wa majalalani????Huo ni ujuha na sheria hiyo itakuwa ya kukariri na wala siyo kuielewa.Ndio nipo Udom Kitivo cha Sheria.
Njoo nikupe hela ya soda/choda.
Kamilisha kadegree kako kwanza, njoo mtaani upate ukweli wa kilichopo huku. Ndio uje ubishane na sisi.Ndio nipo Udom Kitivo cha Sheria.
Njoo nikupe hela ya soda/choda.
Angalau huyu ana afadhali si kama yule aliyekuzimuTunajua Urais ni Taasisi Rais bora ni yupi?
Mkweli hata Kama Ukweli unauma ila anausema hata Samia na NYERERE wako kapu moja, tumeshuhudia mara kadhaa nyerere alisema kuna rushwa ndani ya serikali yake na Samia akwepeshi maneno anasema wazi na Ku Sema alipo kosea Rais alomtangulia Kama alivyofanya Nyerere Kwa Mwinyi,
Samia ni Rais wa Kwanza Mwanamke ana changamoto kubwa Kama alivyokuwa Rais wa kwanza Mwanaume NYERERE na changamoto kadhaa!!
Samia tunapokosa pesa ya ndani anasema lazima tukope si Kama Magufuli alikuwa anapika data mpaka anajichanganya ! Samia anasema kwamba makusanyo ni… na Uchumi wetu si wa Kati Kama chuma alivyotuaminisha… shirika la ndege lina hasara si Kama Simba wa iskariote alivyo Sema ,…Kwamba Nidhamu pia ilikuwa ya uoga kazini si ya heshima….
Ame delegate power wasaidizi wake wanawajibika zaidi kuliko one man show…
Mzunguko wa pesa umekuja na nzuri zaidi Nina ndoto mwaka 2027 tutaanza mchakato wa KATIBA mpya atatutachia KATIBA safi.
Mama aendelee hadi 2030 achana na story za chuki mpaka hapo Mwinyi atakapo mrithi, watasema ooo lazima Rais awe mtanganyika , Mbona watanganyika wameongoza mara tatu mfululizo
Ni vi sentence vichache ila….
URAIS SI KUKAKAMAA USONI NARUDIA
Britanicca
Watanzania sijui wanataka nini tu [emoji38][emoji38][emoji38]Angalau huyu ana afadhali si kama yule aliyekuzimu
Tunajua Urais ni Taasisi Rais bora ni yupi?
Mkweli hata Kama Ukweli unauma ila anausema hata Samia na NYERERE wako kapu moja, tumeshuhudia mara kadhaa nyerere alisema kuna rushwa ndani ya serikali yake na Samia akwepeshi maneno anasema wazi na Ku Sema alipo kosea Rais alomtangulia Kama alivyofanya Nyerere Kwa Mwinyi,
Samia ni Rais wa Kwanza Mwanamke ana changamoto kubwa Kama alivyokuwa Rais wa kwanza Mwanaume NYERERE na changamoto kadhaa!!
Samia tunapokosa pesa ya ndani anasema lazima tukope si Kama Magufuli alikuwa anapika data mpaka anajichanganya ! Samia anasema kwamba makusanyo ni… na Uchumi wetu si wa Kati Kama chuma alivyotuaminisha… shirika la ndege lina hasara si Kama Simba wa iskariote alivyo Sema ,…Kwamba Nidhamu pia ilikuwa ya uoga kazini si ya heshima….
Ame delegate power wasaidizi wake wanawajibika zaidi kuliko one man show…
Mzunguko wa pesa umekuja na nzuri zaidi Nina ndoto mwaka 2027 tutaanza mchakato wa KATIBA mpya atatutachia KATIBA safi.
Mama aendelee hadi 2030 achana na story za chuki mpaka hapo Mwinyi atakapo mrithi, watasema ooo lazima Rais awe mtanganyika , Mbona watanganyika wameongoza mara tatu mfululizo
Ni vi sentence vichache ila….
URAIS SI KUKAKAMAA USONI NARUDIA
Britanicca
Hata Mwendazake mwenyewe kwenye ishu za diplomasia nk hata kwenye kusuka timu ya vyombo vya dola alimkonsult JK.Consultation wanataka akachukue kwa Mwinyi Zanzibar na Kigali kwa Kagame [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sawa lakini aruhusu uhuru wa habari 100% aruhusu siasa 100% ndo tutampima vizuriTunajua Urais ni Taasisi Rais bora ni yupi?
Mkweli hata Kama Ukweli unauma ila anausema hata Samia na NYERERE wako kapu moja, tumeshuhudia mara kadhaa nyerere alisema kuna rushwa ndani ya serikali yake na Samia akwepeshi maneno anasema wazi na Ku Sema alipo kosea Rais alomtangulia Kama alivyofanya Nyerere Kwa Mwinyi,
Samia ni Rais wa Kwanza Mwanamke ana changamoto kubwa Kama alivyokuwa Rais wa kwanza Mwanaume NYERERE na changamoto kadhaa!!
Samia tunapokosa pesa ya ndani anasema lazima tukope si Kama Magufuli alikuwa anapika data mpaka anajichanganya ! Samia anasema kwamba makusanyo ni… na Uchumi wetu si wa Kati Kama chuma alivyotuaminisha… shirika la ndege lina hasara si Kama Simba wa iskariote alivyo Sema ,…Kwamba Nidhamu pia ilikuwa ya uoga kazini si ya heshima….
Ame delegate power wasaidizi wake wanawajibika zaidi kuliko one man show…
Mzunguko wa pesa umekuja na nzuri zaidi Nina ndoto mwaka 2027 tutaanza mchakato wa KATIBA mpya atatutachia KATIBA safi.
Mama aendelee hadi 2030 achana na story za chuki mpaka hapo Mwinyi atakapo mrithi, watasema ooo lazima Rais awe mtanganyika , Mbona watanganyika wameongoza mara tatu mfululizo
Ni vi sentence vichache ila….
URAIS SI KUKAKAMAA USONI NARUDIA
Britanicca
Join the chain, inafanyika Dar mtaa kwa mtaa, kashiriki tu, Bunge live limerudi. Tijifunze appreciation hata kwa hicho kidogoSawa lakini aruhusu uhuru wa habari 100% aruhusu siasa 100% ndo tutampima vizuri
Ukweli upi bwasheee, njoo tule keki ya taifa hapa UdomKamilisha kadegree kako kwanza, njoo mtaani upate ukweli wa kilichopo huku. Ndio uje ubishane na sisi.
Kwani tatizo nini shee?Kwa watu wote wanaosoma sheria lazima wawe watu wa majalalani????Huo ni ujuha na sheria hiyo itakuwa ya kukariri na wala siyo kuielewa.
Mi si wa kusifia vitu vidogo we jamaaJoin the chain, inafanyika Dar mtaa kwa mtaa, kashiriki tu, Bunge live limerudi. Tijifunze appreciation hata kwa hicho kidogo
Tatizo niniKwani Magufuri alikuwa Mungu?????Tangu enzi za Nyerere,Mwinyi,Mkapa,Kikwete na hata Magufuri watu wapya walikuwa wanaibuliwa,hata Magufuri aliibuliwa enzi za Mkapa,je alijiibua mwenyewe?
Chuki is overstatement, sina sababu ya kumchukia huyo mama yenu. Ila hainifanyi nimpe sifa za uongo.Wengi akina nani? Kinachokusumbua wewe ni chuki binafsi kwa Samia unfortunately huna cha kufanya ndio Rais huyo.
Dogo! Tbc wanaweza kurusha mkutano wa wapinzani??Join the chain, inafanyika Dar mtaa kwa mtaa, kashiriki tu, Bunge live limerudi. Tijifunze appreciation hata kwa hicho kidogo
Tatizo ni baadhi ya wasomi wetu kulamba viatu vya viongozi na kusahau taaluma zao mpaka wanajiita kuwa waliokotwa majalalani,haya ni matusi makubwa na kufuru kwa Mwenyezi Mungu.Tatizo nini
Hakuna mtu amesema umpe sifa zao uongo na Wala hakuna anaempa sifa za uongo bali tunaangalia anacho yield kwa mwaka huu mmja.Chuki is overstatement, sina sababu ya kumchukia huyo mama yenu. Ila hainifanyi nimpe sifa za uongo.
Tatizo la watanzania, wakiwa na uwakika wa kushiba hawawafikirii wengine angejua huyo mama asivopendwa asingeleta huo uziUpuuzi mtupu huo mzunguko uko wapi Maisha ya watanzania yanazidi kuwa magumu gharama za bidhaa zinazidi kuongezeka bei aisee kweli Tanzania Uhuru umezidi mpaka MTU anaongea chochote hata kama haimake sense?
Uchumi wa Dunia umehafibika toka 2019 sasa kwani Tzn ni kisiwa kwamba iwe exceptional?Tatizo la watanzania, wakiwa na uwakika wa kushiba hawawafikirii wengine angejua huyo mama asivopendwa asingeleta huo uzi
Wapo wachache wanatumia karata ya ubaguzi wa utaganyika na uzanzibar. Haiwezi kuwasaidia huwa inakuja halafu inapita kama upepo.Tunajua Urais ni Taasisi Rais bora ni yupi?