Rais Samia ana dalili za kuwa Rais bora kama Nyerere na Mkapa. Anaonekana kuwaacha mbali Magufuli na Kikwete

Tunajua Urais ni Taasisi Rais bora ni yupi?

Mkweli hata Kama Ukweli unauma ila anausema hata Samia na NYERERE wako kapu moja, tumeshuhudia mara kadhaa nyerere alisema kuna rushwa ndani ya serikali yake na Samia akwepeshi maneno anasema wazi na Ku Sema alipo kosea Rais alomtangulia Kama alivyofanya Nyerere Kwa Mwinyi,

Samia ni Rais wa Kwanza Mwanamke ana changamoto kubwa Kama alivyokuwa Rais wa kwanza Mwanaume NYERERE na changamoto kadhaa!!

Samia tunapokosa pesa ya ndani anasema lazima tukope si Kama Magufuli alikuwa anapika data mpaka anajichanganya ! Samia anasema kwamba makusanyo ni… na Uchumi wetu si wa Kati Kama chuma alivyotuaminisha… shirika la ndege lina hasara si Kama Simba wa iskariote alivyo Sema ,…Kwamba Nidhamu pia ilikuwa ya uoga kazini si ya heshima….
Ame delegate power wasaidizi wake wanawajibika zaidi kuliko one man show…

Mzunguko wa pesa umekuja na nzuri zaidi Nina ndoto mwaka 2027 tutaanza mchakato wa KATIBA mpya atatutachia KATIBA safi.

Mama aendelee hadi 2030 achana na story za chuki mpaka hapo Mwinyi atakapo mrithi, watasema ooo lazima Rais awe mtanganyika , Mbona watanganyika wameongoza mara tatu mfululizo
Ni vi sentence vichache ila….

URAIS SI KUKAKAMAA USONI NARUDIA

Britanicca
Angalau huyu ana afadhali si kama yule aliyekuzimu
 
Nyerere❌❌❌❌❌
SSH ✔✔✔✔✔✔

Nyerere aliekufa kwa cancer na MHESHIMIWA SSH ni mbingu na ardhi
 
Consultation wanataka akachukue kwa Mwinyi Zanzibar na Kigali kwa Kagame [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hata Mwendazake mwenyewe kwenye ishu za diplomasia nk hata kwenye kusuka timu ya vyombo vya dola alimkonsult JK.

Na mara kadhaa alimtuma huko ughaibuni.

Swala la muhimu ni kwamba watu hawawezi kuwa na mtizamo mmja namna ya uendeshaji wa serikali,kuna mambo watakubaliana na mengine hapana.

Sasa wafuasi wa Mwendazake wanataka Samia awe katili na one man show hilo haliwezekani na halitaokea..
 
Tunajua Urais ni Taasisi Rais bora ni yupi?

Mkweli hata Kama Ukweli unauma ila anausema hata Samia na NYERERE wako kapu moja, tumeshuhudia mara kadhaa nyerere alisema kuna rushwa ndani ya serikali yake na Samia akwepeshi maneno anasema wazi na Ku Sema alipo kosea Rais alomtangulia Kama alivyofanya Nyerere Kwa Mwinyi,

Samia ni Rais wa Kwanza Mwanamke ana changamoto kubwa Kama alivyokuwa Rais wa kwanza Mwanaume NYERERE na changamoto kadhaa!!

Samia tunapokosa pesa ya ndani anasema lazima tukope si Kama Magufuli alikuwa anapika data mpaka anajichanganya ! Samia anasema kwamba makusanyo ni… na Uchumi wetu si wa Kati Kama chuma alivyotuaminisha… shirika la ndege lina hasara si Kama Simba wa iskariote alivyo Sema ,…Kwamba Nidhamu pia ilikuwa ya uoga kazini si ya heshima….
Ame delegate power wasaidizi wake wanawajibika zaidi kuliko one man show…

Mzunguko wa pesa umekuja na nzuri zaidi Nina ndoto mwaka 2027 tutaanza mchakato wa KATIBA mpya atatutachia KATIBA safi.

Mama aendelee hadi 2030 achana na story za chuki mpaka hapo Mwinyi atakapo mrithi, watasema ooo lazima Rais awe mtanganyika , Mbona watanganyika wameongoza mara tatu mfululizo
Ni vi sentence vichache ila….

URAIS SI KUKAKAMAA USONI NARUDIA

Britanicca
Sawa lakini aruhusu uhuru wa habari 100% aruhusu siasa 100% ndo tutampima vizuri
 
Join the chain, inafanyika Dar mtaa kwa mtaa, kashiriki tu, Bunge live limerudi. Tijifunze appreciation hata kwa hicho kidogo
 
Upuuzi mtupu huo mzunguko uko wapi Maisha ya watanzania yanazidi kuwa magumu gharama za bidhaa zinazidi kuongezeka bei aisee kweli Tanzania Uhuru umezidi mpaka MTU anaongea chochote hata kama haimake sense?
Tatizo la watanzania, wakiwa na uwakika wa kushiba hawawafikirii wengine angejua huyo mama asivopendwa asingeleta huo uzi
 
Uchumi wa Dunia umehafibika toka 2019 sasa kwani Tzn ni kisiwa kwamba iwe exceptional?

Swala la kupendwa au kutopendwa ni relative term hakuna kipimo.

Pili wengi wanaoitwa wanyonge wasio na uelewa huwa hawapendi kuelezwa ukweli bali wanataka kupakwa mafuta Kwa mgongo wa chupa but watu wenye uelewa wanajua value ya Samia na wako tayari kumpigania..

Yaani mtu kama mimi nawezaje kutaka uongozi wa Mwendazake ambao uliongeza idadi ya maskini kuliko kuwapunguza?
 
Tunajua Urais ni Taasisi Rais bora ni yupi?

Mkweli hata Kama Ukweli unauma ila anausema hata Samia na NYERERE wako kapu moja, tumeshuhudia mara kadhaa nyerere alisema kuna rushwa ndani ya serikali yake na Samia akwepeshi maneno anasema wazi na Ku Sema alipo kosea Rais alomtangulia Kama alivyofanya Nyerere Kwa Mwinyi,

Samia ni Rais wa Kwanza Mwanamke ana changamoto kubwa Kama alivyokuwa Rais wa kwanza Mwanaume NYERERE na changamoto kadhaa!!

Samia tunapokosa pesa ya ndani anasema lazima tukope si Kama Magufuli alikuwa anapika data mpaka anajichanganya ! Samia anasema kwamba makusanyo ni… na Uchumi wetu si wa Kati Kama chuma alivyotuaminisha… shirika la ndege lina hasara si Kama Simba wa iskariote alivyo Sema ,…Kwamba Nidhamu pia ilikuwa ya uoga kazini si ya heshima….
Ame delegate power wasaidizi wake wanawajibika zaidi kuliko one man show…

Mzunguko wa pesa umekuja na nzuri zaidi Nina ndoto mwaka 2027 tutaanza mchakato wa KATIBA mpya atatutachia KATIBA safi.

Mama aendelee hadi 2030 achana na story za chuki mpaka hapo Mwinyi atakapo mrithi, watasema ooo lazima Rais awe mtanganyika , Mbona watanganyika wameongoza mara tatu mfululizo
Ni vi sentence vichache ila….

URAIS SI KUKAKAMAA USONI NARUDIA

Britanicca
Wapo wachache wanatumia karata ya ubaguzi wa utaganyika na uzanzibar. Haiwezi kuwasaidia huwa inakuja halafu inapita kama upepo.
 
Back
Top Bottom