Rais Samia ana dalili za kuwa Rais bora kama Nyerere na Mkapa. Anaonekana kuwaacha mbali Magufuli na Kikwete

Inashangaza sana jitu limeshiba maharage ya daku huko linaibuka tu kuandika ushuzi hapa.
Nyerere na Magu utamfananisha na hii taka tunayo Hapa.
Tuendelee tu bado miaka 3-8 kila rangi tutasoma.
Safari hii tumepatikana.
 
Chama ndio hakifai-Michoro yote ni Ilani zao!

CCM wabadilike ndio tujue kama kuna ukweli wowote wa wao kutaka mabadiliko ya kweli kwa Ujumla.
 
Inashangaza sana jitu limeshiba maharage ya daku huko linaibuka tu kuandika ushuzi hapa.
Nyerere na Magu utamfananisha na hii taka tunayo Hapa.
Tuendelee tu bado miaka 3-8 kila rangi tutasoma.
Hiyo miaka unayowapa hayako Kikatiba na sio lazima aendelee miaka 9 kama anvyodai. Hayo ya Miaka 9 ni makubaliano yao na hayawahusu Wananchi waliochoka na mazingaombwe.
Tutaamua sisi Wananchi na sio CCM.
 
Bora uongee, kuna wapuuzi fulani wao kazi yao ni kushinda nyuma ya keyboard kumwaga sifa na kulipwa posho. Hao hata bei ya cement na nondo hawajui zimepanda lini maana wanakaa nyumbani kwa baba na mama. Tuache huu ujinga wa kusifia tu kila jambo jamani, hatumkomoi Jiwe na wapambe wake maana Jiwe alishakufa
 
Dah inasikitisha kuona nchi yetu inazidi kuwa na taifa la watu wa hovyo kazi yao kusifiwa tu huku wananchi wanaumia!!

Halafu nyie wasifiaji muwe mnafikiri kabla hamjatoa ushuzi wenu mtandaoni. Ni kheri mkatulia na kukaa kimya.

Mnatia kinyaa
Kabisa, heri wakae kimya tu. Huyu hangaya hata la kumsifia halipo amalizie muda wake aachie ngazi.
 
Mmepewa nafasi, sasa mshindwe wenyewe.
 
Upuuzi mtupu huo mzunguko uko wapi Maisha ya watanzania yanazidi kuwa magumu gharama za bidhaa zinazidi kuongezeka bei aisee kweli Tanzania Uhuru umezidi mpaka MTU anaongea chochote hata kama haimake sense?
magumu kwa wewe unayeshinda mtandaoni bila kufanya shughuli ya uzalishaji
 


Kuwa jamii forum ni mzigo eti, unasoma vitu mpaka unashangaa mwandishi anawaza nini
 
Yafuatayo yaKwake yeye huyo! Mnae msifia

1.Soda tsh 700 Hapo ni dar es salaam.
2.Unga wa ugali tsh 1600-1kg Hapo ni dar es salaam.
3.Nauli nitokapo hadi majukumuni kwangu ni TSh 700/=.
4.mchele super tsh 3300 hadi 3600 Hapo ni dar es salaam.
5. Miradi ya miundo mbinu kaikuta anaiendeleza....

Naona kwake huyo mnae msifia niishie Hapo.

Yafuatayo ni yaKwake huyo mnae mnangaga KILA day, ambaye KWa SAsa hata kujibu masikini hawezi..

1.Soda alikuta tsh 600 ikarejea tsh 500 Hapo ni dar es salaam.

2.Unga wa ugali tsh 850 hadi 1200-1kg Hapo ni dar es salaam.

3.Nauli nitokapo hadi majukumuni kwangu ni TSh 600/=.

4.mchele super tsh 1500 hadi 2100 Hapo ni dar es salaam.

5. Miradi ya miundo mbinu Mingi kaianzisha yeye....
6. Nikiendaga Dodoma kwetu ambao Bwana hayati Jiwe ameufanya kuwa Mji wa kijanja siku hizi nilikuwa napiga misele town root yeyote ile nauli ilikuwa tsh 400, root ndefu sana ya daladala nauli ilikuwa jero kutoka jamatini au 77 hadi vyeyula Hapo!
 
Tunamstahi Nyerere Kwa sababu ni baba wa Taifa ila hao wengine wooote atawafunika..

Mda utasema hakuna Rais atamfikia Kwa takwimu chanya,hayupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…