Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli haufichiki.
Samia is the worse president after Magufuli.
KabisaaSisi watanzania sijui tupewe nini tu? miezi 13 iliyopita hata ku comments post ya mtu ilikuwa lazima uangalie kushoto au kulia ndio ucomment.
Kwenye suala la mafuta kupanda bei kakosea wapi? Na sisi tumrushie maweMfumo wa kumtetea Rais hata kama anakosea sio Afya kwa Taifa letu.
Kwa hapa Tanzania Rais huwa hakosei.
Leo spika anaasema Kuna tatizo mahaliKwenye suala la mafuta kupanda bei kakosea wapi? Na sisi tumrushie mawe
Karibia kila nchi nchi isiyozalisha mafuta, kuna kilioi cha inflation lakini kelele anapelekewa Sa100
Kwenye suala la mafuta amekosea kule kuonesha kuwa she is in a hopeless situation na hana jinsi ya kujikwamua!! As ahead of State hatakiwi kuonesha kuwa ameishiwa options kunusuru wananchi kuhusu suala la kupanda bei ya mafuta!! Unfortunately amezungukwa na wasaidizi akiwemo waziri wake wa fedha ambao hawana weledi wa commodity trading ambapo wangeweza kutumia options katika bulk procurement ya mafuta wakati bei inategemewa kupanda hivyo kuweza kuthibiti bei ya mafuta!!!! Mbinu hizo ndio hutumiwa na makampuni makubwa yanayotumia mafuta mengi kama AIRLINES !!! Mwigullu ni mtupiu hana weledi huo!!!!Kwenye suala la mafuta kupanda bei kakosea wapi? Na sisi tumrushie mawe
Saizi Sukuma gang na Chadomo kete yao ni Bei ya vitu kupanda eti wanategemea itawavusha hadi 2025 😀😀😀😀..Tunajua Urais ni Taasisi Rais bora ni yupi?
Mkweli hata Kama Ukweli unauma ila anausema hata Samia na NYERERE wako kapu moja , tumeshuhudia mara kadhaa nyerere alisema kuna rushwa ndani ya serikali yake na Samia akwepeshi maneno anasema wazi na Ku Sema alipo kosea Rais alomtangulia Kama alivyofanya Nyerere Kwa Mwinyi,
Samia ni Rais wa Kwanza Mwanamke ana changamoto kubwa Kama alivyokuwa Rais wa kwanza Mwanaume NYERERE na changamoto kadhaa!!
Samia tunapokosa pesa ya ndani anasema lazima tukope si Kama Magufuli alikuwa anapika data mpaka anajichanganya ! Samia anasema kwamba makusanyo ni… na Uchumi wetu si wa Kati Kama chuma alivyotuaminisha… shirika la ndege lina hasara si Kama Simba wa iskariote alivyo Sema ,…. Kwamba Nidhamu pia ilikuwa ya uoga kazini si ya heshima….
Ame delegate power wasaidizi wake wanawajibika zaidi kuliko one man show…
Mzunguko wa pesa umekuja na nzuri zaidi Nina ndoto mwaka 2027 tutaanza mchakato wa KATIBA mpya atatutachia KATIBA safi,..
Mama aendelee hadi 2030 achana na story za chuki mpaka hapo Mwinyi atakapo mrithi, watasema ooo lazima Rais awe mtanganyika , Mbona watanganyika wameongoza mara tatu mfululizo
Ni vi sentence vichache ila….
URAIS SI KUKAKAMAA USONI NARUDIA
Britanicca
Ndio umerudi JF kihivi? Sasa tofauti yako na kundi la watu kama Magonjwa, Jingalao na wengine wa aina hiyo itakuwa ipi?URAIS SI KUKAKAMAA USONI NARUDIA
Imenibidi nivute hadi juu kuangalia mwandishi wa maneno niliyosoma toka mwanzo hadi mwisho. Ikanibidi ninyanyue huo mstari mmoja huo hapo mwisho, ambao ndio pekee ninaokubaliana nao katika andiko lako lote uliloweka hapo.Ila kumfananisha na Nyerere,hapo hapana mkuu umezingua
Hivi wewe unajitambua kweli?watu wanajadili uozo wa serikali,serikali kushindwa kuongoza vizuri mfano bidhaa zinapanda bei ovyo,nchi inaenda ovyoovyo mawaziri wasio na sifa wamepewa wizara kuongoza wizara mbalimbali alafu unawaita watu sijui sukuma gang au chadema uozo wa serikali usiongelewe na watanzania?kama huna cha kuchangia ili nchi iende sehemu nzuri nyamaza.samia kauotperfom kitu gani miradi yote mikubwa ni ya magufuli,Hali ya uchumi bado ni mbaya tumerudi kwenye uchumi mdogo au Ka autperform kwenye kusafiri Sana kwa sababu Hali ya uchumi bado ni ovyo,miradi yotee ni ya magufuli.Saizi Sukuma gang na Chadomo kete yao ni Bei ya vitu kupanda eti wanategemea itawavusha hadi 2025 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]..
Ukiwaomba Sukuma gang waweke rekodi za mwaka mmja wa mtu wao vs SSH wanakwepa baada ya Samia kuwa outperform pakubwa ..
Utasikia miradi ya Magufuli,huwa nawauliza kwa nini miaka 6 hakumaliza mradi hata mmja at the same time wanataka Samia amalize ndani ya mwaka wake mmja na kuanza mipya [emoji38][emoji38][emoji38]..
Uzuri wa Samia hapendi masifa ya kijinga wala kulazimisha kupendwa kwa maigizo na propaganda.za kitoto za shujaa wa Chato..
Sikiliza wabunge huko Bungeni wanavyofurahia mahela lundo kwenye Halmashauri zao hadi raha na wanakiri haijawahi kutokea Rais kutekeleza bajeti na ilani kama Samia.Huu ni ukweli mchungu watetezi wa legacy hawapendi kuusikia..
Ila kumfananisha na Nyerere,hapo hapana mkuu umezingua.
Mapovu plus..Hivi wewe unajitambua kweli?watu wanajadili uozo wa serikali,serikali kushindwa kuongoza vizuri mfano bidhaa zinapanda bei ovyo,nchi inaenda ovyoovyo mawaziri wasio na sifa wamepewa wizara kuongoza wizara mbalimbali alafu unawaita watu sijui sukuma gang au chadema uozo wa serikali usiongelewe na watanzania?kama huna cha kuchangia ili nchi iende sehemu nzuri nyamaza.samia kauotperfom kitu gani miradi yote mikubwa ni ya magufuli,Hali ya uchumi bado ni mbaya tumerudi kwenye uchumi mdogo au Ka autperform kwenye kusafiri Sana kwa sababu Hali ya uchumi bado ni ovyo,miradi yotee ni ya magufuli.
Leta Takwimu blaa blaa za nini? Mnajaribu kumfichia aibu Dhalimu 😀😀Imenibidi nivute hadi juu kuangalia mwandishi wa maneno niliyosoma toka mwanzo hadi mwisho. Ikanibidi ninyanyue huo mstari mmoja huo hapo mwisho, ambao ndio pekee ninaokubaliana nao katika andiko lako lote uliloweka hapo.
'The Sunk Cost Fallacy'?
Ni kweli. Yaani jamaa alikuwa ametufinya kweli kweli. Kuna unafuu sasa hivi Madame karejesha furaha kwa kweliSisi watanzania sijui tupewe nini tu? miezi 13 iliyopita hata ku comments post ya mtu ilikuwa lazima uangalie kushoto au kulia ndio ucomment.
Asante kwa kufuta chaguzi zote za Urais japo haujatuambia mamlaka uliyonayo nchini.Tunajua Urais ni Taasisi Rais bora ni yupi?
Mkweli hata Kama Ukweli unauma ila anausema hata Samia na NYERERE wako kapu moja, tumeshuhudia mara kadhaa nyerere alisema kuna rushwa ndani ya serikali yake na Samia akwepeshi maneno anasema wazi na Ku Sema alipo kosea Rais alomtangulia Kama alivyofanya Nyerere Kwa Mwinyi,
Samia ni Rais wa Kwanza Mwanamke ana changamoto kubwa Kama alivyokuwa Rais wa kwanza Mwanaume NYERERE na changamoto kadhaa!!
Samia tunapokosa pesa ya ndani anasema lazima tukope si Kama Magufuli alikuwa anapika data mpaka anajichanganya ! Samia anasema kwamba makusanyo ni… na Uchumi wetu si wa Kati Kama chuma alivyotuaminisha… shirika la ndege lina hasara si Kama Simba wa iskariote alivyo Sema ,…Kwamba Nidhamu pia ilikuwa ya uoga kazini si ya heshima….
Ame delegate power wasaidizi wake wanawajibika zaidi kuliko one man show…
Mzunguko wa pesa umekuja na nzuri zaidi Nina ndoto mwaka 2027 tutaanza mchakato wa KATIBA mpya atatutachia KATIBA safi.
Mama aendelee hadi 2030 achana na story za chuki mpaka hapo Mwinyi atakapo mrithi, watasema ooo lazima Rais awe mtanganyika , Mbona watanganyika wameongoza mara tatu mfululizo
Ni vi sentence vichache ila….
URAIS SI KUKAKAMAA USONI NARUDIA
Britanicca
Wewe na Uhasama wako utaacha liniSaizi Sukuma gang na Chadomo kete yao ni Bei ya vitu kupanda eti wanategemea itawavusha hadi 2025 😀😀😀😀..
Ukiwaomba Sukuma gang waweke rekodi za mwaka mmja wa mtu wao vs SSH wanakwepa baada ya Samia kuwa outperform pakubwa ..
Utasikia miradi ya Magufuli,huwa nawauliza kwa nini miaka 6 hakumaliza mradi hata mmja at the same time wanataka Samia amalize ndani ya mwaka wake mmja na kuanza mipya 😆😆😆..
Uzuri wa Samia hapendi masifa ya kijinga wala kulazimisha kupendwa kwa maigizo na propaganda.za kitoto za shujaa wa Chato..
Sikiliza wabunge huko Bungeni wanavyofurahia mahela lundo kwenye Halmashauri zao hadi raha na wanakiri haijawahi kutokea Rais kutekeleza bajeti na ilani kama Samia.Huu ni ukweli mchungu watetezi wa legacy hawapendi kuusikia..
Ila kumfananisha na Nyerere,hapo hapana mkuu umezingua.