The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Jibu hoja hapo juu with facts acha blaa blaaWewe na Uhasama wako utaacha lini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu hoja hapo juu with facts acha blaa blaaWewe na Uhasama wako utaacha lini
Umeiona wapi hoja?Jibu hoja hapo juu with facts acha blaa blaa
Hmm!!Uzuri wa Samia hapendi masifa
Basi hilo suala ni la Dunia nzima, kwa sababu hata Mmarekani, Germany inflation ni kubwa pia. Hamuongozwi na malaika.Kwenye suala la mafuta amekosea kule kuonesha kuwa she is in a hopeless situation na hana jinsi ya kujikwamua!! As ahead of State hatakiwi kuonesha kuwa ameishiwa options kunusuru wananchi kuhusu suala la kupanda bei ya mafuta!! Unfortunately amezungukwa na wasaidizi akiwemo waziri wake wa fedha ambao hawana weledi wa commodity trading ambapo wangeweza kutumia options katika bulk procurement ya mafuta wakati bei inategemewa kupanda hivyo kuweza kuthibiti bei ya mafuta!!!! Mbinu hizo ndio hutumiwa na makampuni makubwa yanayotumia mafuta mengi kama AIRLINES !!! Mwigullu ni mtupiu hana weledi huo!!!!
Tunajua Urais ni Taasisi Rais bora ni yupi?
Mkweli hata Kama Ukweli unauma ila anausema hata Samia na NYERERE wako kapu moja, tumeshuhudia mara kadhaa nyerere alisema kuna rushwa ndani ya serikali yake na Samia akwepeshi maneno anasema wazi na Ku Sema alipo kosea Rais alomtangulia Kama alivyofanya Nyerere Kwa Mwinyi,
Samia ni Rais wa Kwanza Mwanamke ana changamoto kubwa Kama alivyokuwa Rais wa kwanza Mwanaume NYERERE na changamoto kadhaa!!
Samia tunapokosa pesa ya ndani anasema lazima tukope si Kama Magufuli alikuwa anapika data mpaka anajichanganya ! Samia anasema kwamba makusanyo ni… na Uchumi wetu si wa Kati Kama chuma alivyotuaminisha… shirika la ndege lina hasara si Kama Simba wa iskariote alivyo Sema ,…Kwamba Nidhamu pia ilikuwa ya uoga kazini si ya heshima….
Ame delegate power wasaidizi wake wanawajibika zaidi kuliko one man show…
Mzunguko wa pesa umekuja na nzuri zaidi Nina ndoto mwaka 2027 tutaanza mchakato wa KATIBA mpya atatutachia KATIBA safi.
Mama aendelee hadi 2030 achana na story za chuki mpaka hapo Mwinyi atakapo mrithi, watasema ooo lazima Rais awe mtanganyika , Mbona watanganyika wameongoza mara tatu mfululizo
Ni vi sentence vichache ila….
URAIS SI KUKAKAMAA USONI NARUDIA
Britanicca
Hili tatizo la mfumuko wa bei limerekodiwa kwa kiwango ambacho akijawahi kushuhudiwa Duniani. Nchi nyingi ni waathirika kwenye hili. Mmarekani, German, wanalia na huu mfumuko wa bei. Tafuteni taarifa.Hivi wewe unajitambua kweli?watu wanajadili uozo wa serikali,serikali kushindwa kuongoza vizuri mfano bidhaa zinapanda bei ovyo,nchi inaenda ovyoovyo mawaziri wasio na sifa wamepewa wizara kuongoza wizara mbalimbali alafu unawaita watu sijui sukuma gang au chadema uozo wa serikali usiongelewe na watanzania?kama huna cha kuchangia ili nchi iende sehemu nzuri nyamaza.samia kauotperfom kitu gani miradi yote mikubwa ni ya magufuli,Hali ya uchumi bado ni mbaya tumerudi kwenye uchumi mdogo au Ka autperform kwenye kusafiri Sana kwa sababu Hali ya uchumi bado ni ovyo,miradi yotee ni ya magufuli.
Hii vita ya putin mmeamua kuisingizia tu na kuifanya chaka la kujifichia bila sababu..mkibanwa kwenye hilo mnarukia kisingizio cha covid 19 utadhani imeanza mwaka huu..Hili tatizo la mfumuko wa bei limerekodiwa kwa kiwango ambacho akijawahi kushuhudiwa Duniani. Nchi nyingi ni waathirika kwenye hili. Mmarekani, German, wanalia na huu mfumuko wa bei. Tafuteni taarifa.
Raisi akikosea tutaongea na akipatia tutamsifia na akibebeshwa mizigo isiyoyake tutaibeba tu.
"... Kumfichia aibu Dhalimu", yupi huyo ninayemfichia aibu?Leta Takwimu blaa blaa za nini? Mnajaribu kumfichia aibu Dhalimu 😀😀
'Ota mswelani'.Hii vita ya putin mmeamua kuisingizia tu na kuifanya chaka la kujifichia bila sababu..mkibanwa kwenye hilo mnarukia kisingizio cha covid 19 utadhani imeanza mwaka huu..
sisi wakulima mmetunyanyasa sana msimu huu unaosha...mbolea ya kupandia ilipanda toka 54,000 hadi 120,000, Urea ilitoka 50,000 hadi 100,000, CAN ilitoka 40,000 hadi 90,000...hizo bei ni kwa maeneo yetu sisi kwa wengine huko sijui hali ilikuaje...njoo vifaa vya ujenzi,mafuta yote tu, Nyama, sabuni ni kila kitu in short...lakini sasa hivi mnaweka nguvu nyingi kutaka kuaminisha watu kuwa vitu vimepanda bei mwezi huu tu. acheni hizo basi
Aliibuka yule waziri wa biashara nadhani akajifanyisha kukemea na kuikumbusha FCC iingilie kati mwezi wa 10 mwaka jana ile nadhani,wafanyabiashara walimdharau tu,juzi kasema waziri mkuu, nadhani wafanyabiashara walivosikia kauli yake ile watakuwa walicheka tu
Hujajibu hoja bali unatetea upopoma, huko marekani Biden anahangaika kuwanusuru watu wake mpaka anadiriki kutumia EMERGENCY RESERVE ya mafuta ya nchi yao ili kupunguza maumivu ya kupanda bei!! Sasa sisi hapa Watu wanapokea mshahara na posho tu bila kufikiria kuwakwamua wananchi wao na machungu ya mfumuko huu!! Wamebakia kuimba tu vita ya Ukraine na Urusi ndio sababu, so what?Basi hilo suala ni la Dunia nzima, kwa sababu hata Mmarekani, Germany inflation ni kubwa pia. Hamuongozwi na malaika.
You can sai again and again 🔥🔥🙌Tunajua Urais ni Taasisi Rais bora ni yupi?
Mkweli hata Kama Ukweli unauma ila anausema hata Samia na NYERERE wako kapu moja, tumeshuhudia mara kadhaa nyerere alisema kuna rushwa ndani ya serikali yake na Samia akwepeshi maneno anasema wazi na Ku Sema alipo kosea Rais alomtangulia Kama alivyofanya Nyerere Kwa Mwinyi,
Samia ni Rais wa Kwanza Mwanamke ana changamoto kubwa Kama alivyokuwa Rais wa kwanza Mwanaume NYERERE na changamoto kadhaa!!
Samia tunapokosa pesa ya ndani anasema lazima tukope si Kama Magufuli alikuwa anapika data mpaka anajichanganya ! Samia anasema kwamba makusanyo ni… na Uchumi wetu si wa Kati Kama chuma alivyotuaminisha… shirika la ndege lina hasara si Kama Simba wa iskariote alivyo Sema ,…Kwamba Nidhamu pia ilikuwa ya uoga kazini si ya heshima….
Ame delegate power wasaidizi wake wanawajibika zaidi kuliko one man show…
Mzunguko wa pesa umekuja na nzuri zaidi Nina ndoto mwaka 2027 tutaanza mchakato wa KATIBA mpya atatutachia KATIBA safi.
Mama aendelee hadi 2030 achana na story za chuki mpaka hapo Mwinyi atakapo mrithi, watasema ooo lazima Rais awe mtanganyika , Mbona watanganyika wameongoza mara tatu mfululizo
Ni vi sentence vichache ila….
URAIS SI KUKAKAMAA USONI NARUDIA
Britanicca
Wacha kulinganisha Marekana na vitu vya kijinga hata aibu uoni? Unaijua reserve ya Mmarekani??? Unataka Samia afanye kama Biden?? Poor comparison.Hujajibu hoja bali unatetea upopoma, huko marekani Biden anahangaika kuwanusuru watu wake mpaka anadiriki kutumia EMERGENCY RESERVE ya mafuta ya nchi yao ili kupunguza maumivu ya kupanda bei!! Sasa sisi hapa Watu wanapokea mshahara na posho tu bila kufikiria kuwakwamua wananchi wao na machungu ya mfumuko huu!! Wamebakia kuimba tu vita ya Ukraine na Urusi ndio sababu, so what?
Wacha kulinganisha Marekana na vitu vya kijinga hata aibu uoni? Unaijua reserve ya Mmarekani??? Unataka Samia afanye kama Biden?? Poor comparison.
Kisa Biden kafanya unataka na Samia apite humo humo???
Tunaposema ni tatizo la Dunia inflation, hiyo Marekani na German wapo Mars??? Humu ni for great thinkers only. UnatuchoshaWewe kifuu unasahau kuwa wewe ndio omeleta comparison ya Marekani na Ujereumani kuwa nao wana inflation!! Mimi ndio nikakuonesha kuwa huko Biden anagalau anajihangaisha kuthibiti mfumuko huku nyie mkiimba Vita ya PUTIN!!! Hamjisumbui kuthibiti watu wenu wanavyoibia nchi kwa dili za kijinga kupitia contract za kiwizi wizi mnabakia kulalama na kuimba taarab tu!! Chunguzeni hizo tenda za ununuzi wa mafuta muone jinsi hao mliowaweka kuongoza wanavyoihujumu nchi!!
Vita vya mfu na waliohai bado sijawaelewaVita imerudi tena kati ya Sukumagang vs Msogagang! Natamani huu mnyukano uende hivi hivi mpaka 2025!
Wengine mnamsifia, huku wengine wanamponda! Safi kabisa.